100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Vita ya siku 12 destroyers za US zilikuwa baharii kuisaidia Israel ku intercept missiles za Iran, walikuwa wanarusha hizo SM-3, SM-3 ina variants ambapo bei yake ni kuanzia $10M hadi $30M. Inategema unahitaji ya aina gani ni kama iPhone , unakuta kuna iPhone 17 , pro, pro max unachagua na storage 256GB, 1TB, 2TB nakadhalika...Wewe endelea kupiga propaganda hapa,wenzako wanajua kila kitu ndio maana wakaingia vitani. Muda si mrefu mtaanza kampeni ya pray for Iran. Yaani Marekani anaeuza silaha Dunia nzima halafu yeye aishiwe silaha,hivi mnatumia logic gani kujenga hoja kama hizo
Ndio waliuawa IDF 87... nakumbuka vyema.Serikali ya Lebanon waliongea na Hezbollah baada ya vita, Ila vita ya mpakani walipigika vizuri Tu, watu wana kumbukumbu fupi kama Una Ile video IDF na helicopter wakaenda komba maiti iweke.
Hao wamechoka kuishi.Wanajesh wa Israel wakiingia kusini Lebanon kuyaangamiza magaidi
Hayo maneno hata Ayatollah aliyasema Sana🤣🤣🤣Hao wamechoka kuishi.
Mwenzao mtoto wa Neta-nyau yupo US anakula maisha.. Netanyau mwenyewe yupo himoni na mkewe wanapeana mahaba, yenyewe majinga wanapelekwa mbele kufa.
US hana silaha yeyote unique na ya kutisha..𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚 🇺🇸🇮🇶🇮🇷: Residents in Mosul report a U.S. B-1B Lancer flying overhead, escorted by multiple F-16C Fighting Falcon and F-15E Strike Eagle jets.
The formation was seen heading east toward Tehran, signaling another potential escalation in the widening air campaign.
Mnafuturu huku mnaangalia angani mnakojolewa na mabint wa kiyahudi 🤣Wengine tunasubiri tufturu tuishangaze Dunia.
Eeh?!!Wanasaidia sana Dunia, wachukue nusu ya Lebanon
Hawa ndio wahuni wa dunia mzee. Wakikuchangia hutoboiUzuri wa hii vita IRGC hawatajificha kwa raia kama walivyokuwa wanafanya Hamas hivyo baada ya anga la Iran kutawaliwa kama week ijayo kama wanavyodai Marekan basi tutarajie maafa makubwa.
Na kuna uwezekano wakawa wanapiga kutoka angani huku ground wakaunda vikundi na kuvipa slaa na fedha viwe vinaendeleza mapambano. Marekan wa Israel wana fitina nyingi mno.
🤣🤣🤣🤣,subiri tuishangaze Dunia,Dunia itatetema🙌Mnafuturu huku mnaangalia angani mnakojolewa na mabint wa kiyahudi 🤣
Netanyahu baada ya wanajeshi kufa, anatoka shimoni na kuwapa pole akiwaambia vijana pambaneni sana, huku toto lake lipo USA linakula maisha na warembo na marafiki zake, yaani hayo majamaa ni majinga kweli.Hayo maneno hata Ayatollah aliyasema Sana🤣🤣🤣
ila alinyolewa vuzi kwa lazima
Bora hata wewe umeelewa...Inase.ekana changamoto ya sasa ni shared drones. Zinakaribia kuchosha air defenses za US. Maana ni nyingi na tactics wanazotumia Iran kuzirusha. Ikumbukwe hizo Iran wanazo kama utitiri.
Bila kuwafuata ground waajemi kazi hii us atahitaji muda mrefu zaidi. Labda kama watafuta viongozi wote na wawndesha vita wote
Pole aisee. Najua wewe ni team Ayatollah.Netanyahu baada ya wanajeshi kufa, anatoka shimoni na kuwapa pole akiwaambia vijana pambaneni sana, huku toto lake lipo USA linakula maisha na warembo na marafiki zake, yaani hayo majamaa ni majinga kweli.
Kuua watoto wa shule ya nursery 160 kweli ni kipigo si cha kitoto..Pole aisee. Najua wewe ni team Ayatollah.
Kichapo mnachokichezea si cha kitoto.
Na hakuna mnaloweza kufanya!Kuua watoto wa shule ya nursery 160 kweli ni kipigo si cha kitoto..
Ni kweli kupiga kambi zote za US gulf states Iran haijafanya kitu..Na hakuna mnaloweza kufanya!
Sad!