Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

BREAKING: Iran have attacked Azerbaijan, explosion seen near Nakhchivan Airport.

Iran anataka nini sasa🤣🤣🤣
 

Niishie tu kusema wewe jamaa ni mpumbavu
 
Bado sana. China kashusha shehena ya ndege 16 ya mizigo ya silaha. Vita hii itachukua muda mrefu kama China anapeleka silaha hivi.
Hii ni war of attrition kuna mmoja akishachoka hapa anapigwa tukio bab kubwa la kata funua.
Wadanganye wafuga midevu na majini Anga la Iran liko chini ya wababe wa Israel atapita wapi?

Shehena hizo ulizozisema alipelekewa kuanzia Oct 2025 mpaka Feb 2026 maana aliaminishwa kwa silaha hivyo hawezi kupigwa na wana wa Israel hakujua kuwa katepeliwa

Achen tu Iran avune alichopanda!! Alifadhili magaidi wa Hamas,Hezbollah,Houth,Islamic jihad magaidi hawa walishaua watu wengi sana sasa Acha nao waonje joto ya jiwe!!
 
Hizi story za kujitungia TU kama zile Mtume hazinaga source
 
🗣 🇮🇱 Israel wants ‘total destruction’ of Iran — former Israeli intel official



"The ultimate goal, however, is the 'total destruction of this [Iran’s] regime, of everything that holds it together,'" he added.
 

Attachments

  • Screenshot_20260305_115632_Telegram.jpg
    47.9 KB · Views: 14
Hawa wanadhani kuwa hii vita Marekani kajiandaa jana
US alituma Aircraft Carrier 2 na kabla ya hizo na baada ya hizo ndege za mizigo ya kijeshi zilienda vya kutosha middle east.

Bado kuna kisiwa cha Diego Garcia na mbaya zaidi kwa Iran ni kwamba Israel haipo mbali, so uwesekano wa US kuishiwa silaha ni kama mzaha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…