City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Iran karusha vyuma kadhaa huko anasikilizia milio tu๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
King'ora cha tahadhali kimelia Tel aviv
Ngoja tusubiriIran karusha vyuma kadhaa huko anasikilizia milio tu
Nimeangalia pia SBS news hata Israel wananchi wao wanalalamika maisha yamekuwa magumu na Iwanasema wangekuwa na Access wangeonyesha jinsi Iran anavyopiga majengo na huduma za kiraia,hii vita mbaya sanaMsikilizeni anchor wa Al Jazeera. Tehran kumechafuka,huduma za jamii zinaanza kukata,wananchi wengi wamekimbia,waliobaki hawajui nini kinaendelea hata tv zote giza. Mashambulizi yameacha miundombinu ya kijeshi sasa wanapiga miundombinu ya kijamii
View attachment 3552991
Ni kweli kabisa ndio maana serikali imewaruhusu kuendelea na shughuli zao kama kawaida.Nimeangalia pia SBS news hata Israel wananchi wao wanalalamika maisha yamekuwa magumu na Iwanasema wangekuwa na Access wangeonyesha jinsi Iran anavyopiga majengo na huduma za kiraia,hii vita mbaya sana
Iran wamekata internet na kuna miji hakuna umeme. Lakini bado wapo watu wameweza kubypass wanaaccess internet.Msikilizeni anchor wa Al Jazeera. Tehran kumechafuka,huduma za jamii zinaanza kukata,wananchi wengi wamekimbia,waliobaki hawajui nini kinaendelea hata tv zote giza. Mashambulizi yameacha miundombinu ya kijeshi sasa wanapiga miundombinu ya kijamii
View attachment 3552991
Hapana! Tunajua nyie wagalatia mnafurahia umwagaji wa damu...ila inatosha sasa mkuu! tuombe Mungu yaishe hayaNaona mmeanza kuomba poo. Aliamza Khaibar
Mkuu acha udini. Hii sio vita yetu wacha wanyooshane. Hao wote mtu mweusi wanamuona nyani tu.Hapana! Tunajua nyie wagalatia mnafurahia umwagaji wa damu...ila inatosha sasa mkuu! tuombe Mungu yaishe haya
Mkuu unalaumu wagalatia bure, wenyewe wameamua kupigana kwa mapenzi yao na sababu wanazojua wao. Acha wapigane. Huku Africa hakuna mwenye uwezo wa kumzuia marekani au Iran au Israel kufanya maamuzi wanayotakaHapana! Tunajua nyie wagalatia mnafurahia umwagaji wa damu...ila inatosha sasa mkuu! tuombe Mungu yaishe haya
Ndioo maana tunasema athari ni mbaya pande zote. Hivyo kusema Iran tu ndio anapigika ni uongo mtupu. Hapa atakuja Echolima1 (choo cha kulima kimoja1) atasema hii ni habari ya uongo bali irani ndio anayepigika.Nimeangalia pia SBS news hata Israel wananchi wao wanalalamika maisha yamekuwa magumu na Iwanasema wangekuwa na Access wangeonyesha jinsi Iran anavyopiga majengo na huduma za kiraia,hii vita mbaya sana