100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
-Iran amepiga THERMOBARIC BOMB TEL AVIV.
Wakuu hili thermobaric bomb ndio bomu aina gani??
Maana lilipotua limekusanya wingu sio mchezo.
Mkuu hilo bomb mi mwenyewe nasikia leo, noja ni google...Wamkatalie na Pedro Sanchez.
Safari hii Trump kakutana na majibu ya shombo mwenziye.
Eti haiwezekani mtu ashindwe kusimamia nchi yake huko!π€£π€£π€£
Oya nimeona Israel kapigwa thermobaric bomb huo moshi uliokusanywa sio poa.
Mtuelezee ni bomb aina gani hili.
Mtu anaemdhalilisha Rais na PM huyo ni muhaini.Mkuu hakuna haja ya kuongopa kwenye haya mambo ili kuhalalisha kule unakipenda. Ni wakuu gani hao wa vyombo vya usakama waliomtuhumu kitima?
Russia aliwahi kulimwaga hapo Ukraine maramoja na hakurudiaMkuu hilo bomb mi mwenyewe nasikia leo, noja ni google...
Angalia mlivyo wanafiki! Akiuliwa mwarabu mnafurahia,akifa mzungu ndio binadamu? Acha wafe washenzi haoMkuu acha kabisa kushabikia mauaji ya binadamu wasiokuwa na hatikabisa haijalishi ni wa America, wa Israel au wa Iran. Uhai wa binadamu una thamani isiyothaminishwa na kitu chochote.
Trump ni mwehu..Huyo anaropokaga tu. Ndio maana Pedro Sanchez kamtusi na kumwabia kiongozi aliyefeli kusimamia nchi yake.
Sio war crime kweli hilo?Russia aliwahi kulimwaga hapo Ukraine maramoja na hakurudia
bwana zake Echolima1 haoπ₯π₯π₯π₯
Netanyahu ametembelea kambi ya jeshi uvda kusini mwa Israel
View attachment 3553135
Wa crime ni kichaka cha mabeberu sometimes ili yasiwakute wanayo wafanyia wenzao huko kwa akina Hezbollah hamas n.kSio war crime kweli hilo?
Mkuu lile bomu linatakiwa likatazwe.Sio war crime kweli hilo?
Hezbollah kwenye ardhi always huwa inawapa shida sana Israel..Mafanikio ya mashambulizi ya Hizbollah kwa Israel;
-Kupigwa kwa Haifa port.
-Kupigwa kwa kambi za jeshi za Galilaya.
-Kulipuliwa kwa vifaru 6.
-Kulengwa wanajeshi waliokusanyika kujaribu kuvuka mpaka.
-Hamas imerusha maroketi kwenda Israel muda huu.
Mkuu inabid wakulipe wayahudi na America...unafanya kazi yao kwa usahii! Bilashaka we ni agent wao!π₯π₯π₯π₯
Israel na marekani wanashambulia kwa makombora eneo la kermanshah, milipuko mikubwa sana
View attachment 3553148
Nimesoma sehemu wanasema Israel alishalitumia Gaza.. joto lake ni 3500 C, yaani likipigwa kama ni mwili wa mtu una evaporate, ni kama semi nuke sijui niseme ama mini nuke...Mkuu lile bomu linatakiwa likatazwe.
Halifai kutumika nenda kali google ulione.
Ground operation watashindwa, itakuwa wanajaribu ku i pressure Iran iweze ku position vifaa na askari ili kuwalenga.Marekani bado wapo kwenye jangwa la Iraq huwenda wanajiandaa na ground operation dhidi ya Iran.
Iran kalipiga jioni ya leo kwa Israel.Nimesoma sehemu wanasema Israel alishalitumia Gaza.. joto lake ni 3500 C, yaani likipigwa kama ni mwili wa mtu una evaporate, ni kama semi nuke sijui niseme ama mini nuke...
Ngoja nitafute hio habari..
Mkuu rudi kwenye sense haikupungizii kituMtu anaemdhalilisha Rais na PM huyo ni muhaini.
Sio agent wao, mm ni shabiki wa siasa za kitaifa na kimataifa.Mkuu inabid wakulipe wayahudi na America...unafanya kazi yao kwa usahii! Bilashaka we ni agent wao!