Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

[FONT=georgia]Israel ilitangaza ni marufuku ku post taarifa za uharibu zinazosababisha na makombora ya Iran, na waandishi wa nje wamezuia kufanya live coverage, na chochote kabla ya ku post idara za usalama zi review [/FONT]
 
Mwandishi wa habari wa CNN anasema.

Iran inaruhusu CNN kuingia Iran kuchukua habari za vita, shirika la habari la US ambapo hivi sasa (US) inaipiga mabomu Iran wakisaidiana na Israel.

Lakini Israel iliniweka chini ya ulinzi mwandishi wa habari ambae natokea nchi ambayo ni mshirika wa karibu......



View: https://x.com/CNN/status/2029531533481013634?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E2029618462260146245%7Ctwgr%5E2d3fdbfe2531d8e5371b64cd43557794b864b93e%7Ctwcon%5Es3_&ref_url=https%3A%2F%2Fmybroadband.co.za%2Fforum%2Fthreads%2Fisrael-says-it-has-launched-attack-on-iran-as-explosions-reported-in-tehran.1333906%2Fpage-156
 
Hawezi thubutu kufanya hivyo maana anajua kuukaribia huo mlango ni kuziweka meli zake kwenye target za antship za Iran.
 
Jana Iran iliipiga HQ yao wakaisambaza alafu wakawaonya kuwa wasijaribu huo ujinga waone.
Kwanza wakrud wakifanya kitu kama hicho wenda ikamfaidisha maana Iran atapata washirika wa kumsaidia kuwatandika ikiwemo Uturuki.
 
Israel anajitahidi kuiaminisha dunia wapo sawa..

Lakini kiuhalisia hizo ni kauli tu, hakuna anayejielewa atoke nje an relax.. labda kufungua supermarkets baadhi kwa mahitaji ya muhimu then shimoni kama kawaida...
Eti Jana wakatangaza kuwa leo watafungua uwanja vya ndege maana makombora ya Iran yamepungua asubuhi na mapema tu Iran akaupiga kwa makombora ili tuone jeuri wa kuufungua wataitoa wapi.
 
Jana Iran iliipiga HQ yao wakaisambaza alafu wakawaonya kuwa wasijaribu huo ujinga waone.
Kwanza wakrud wakifanya kitu kama hicho wenda ikamfaidisha maana Iran atapata washirika wa kumsaidia kuwatandika ikiwemo Uturuki.
Kurdi wanaelewa kuusoma mchezo, maana IRGC hivi sasa wapo kwenye mode nyingine.. mkikamatwa ni kitoweo.. uzuri na wao wanakataa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…