100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Mzee kuna visa za bure kwenda Israel Tel-Aviv... ndani ya week hii upo tayari?Vipi maisha yapo huko? Maana sipaskii sana kama wabobgo wanapenda kwenda huko weng wanaishia uoande huu wa nchi ya UAE na Qatar
Nilitegemea angekuja angenichallenge.Yeye anasema mtandao anatumia na hadi ana stream, ina maana mtandao upo... huyu reporter wetu kwa kweli ye mwenyewe haamini habari zake..
Hizo drone zenye engine ya boda boda marekani ameenda kwa zere kuomba msaa wa kuzitungua.Zile drone zenye engine ya bodaboda milipuko yake sio mikubwa vinawasha moto tu ambao unazimwa 😀😀😀😀
Huko uhakika, naenda bila shida , ila pande za iran mzee naogopwa kuchinjwa mimi sio muslimMzee kuna visa za bure kwenda Israel Tel-Aviv... ndani ya week hii upo tayari?
Gharama zote ni serikali ya Israel..
Yaani sasa hivi eti uende Tel aviv au Tehran wanajua wewe ni spy umetumwa.😀😀😀Mzee kuna visa za bure kwenda Israel Tel-Aviv... ndani ya week hii upo tayari?
Gharama zote ni serikali ya Israel..
Watu wanaingia vizuri tu tena ndege za commercialYaani sasa hivi eti uende Tel aviv au Tehran wanajua wewe ni spy umetumwa.😀😀😀
Thubutuuu, hakuna mtu atathubutu, kama unajipenda.. mi nawatania tu.. 🤣Yaani sasa hivi eti uende Tel aviv au Tehran wanajua wewe ni spy umetumwa.😀😀😀
🤣🤣🤣Wazee Tel-Aviv kuna mchongo huko... msiogope kulipuliwa wanasema iron dome zipo zitawalinda.
Safari ni week ijayo.
Kama upo tayari fika ubalozi wa Israel. utapewa maelezo.
🌾 TANGAZO LA KAZI – ISRAEL (KILIMO) 🇮🇱
Kuna nafasi za kazi katika sekta ya kilimo nchini Israel.
✅ Visa ni bure
✅ Gharama za usafiri na maandalizi zinalipiwa
✅ Malazi yanatolewa
✅ Mkataba wa kazi wa miaka 1–2
Mahitaji:
📩 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na namna ya kutuma maombi.
- Awe na afya njema
- Awe tayari kufanya kazi za shambani
- Awe na pasipoti halali
Nafasi ni chache – wahi sasa!
Jamaa wapo vizuri sana kwenye kuzuia habari zisitoke..Ila binadamu jamani yaani Israel pamoja na juhudi zote za kuzuia video zisionekane lakini watu wameenda dark Web kuzichimbua.
🤣🤣🤣 anashindwa kuzuia hisia zake ogopa sana mapenziMilipuko sio mikubwa?
Cc@100 others
Ila we jamaa tutagombana hapo tu, hivi we huoni kama huo ni mlipuko mkubwa?
Tumebishana humu Leo siku nzima kuwa Israel watu wamekatazwa wasirushe habari. Niliwaeleza huwezi kuzuia watu wasirecord na kurusha, haiwezekaniMilipuko sio mikubwa?
Cc 100 others
Myahudi wa maji matituEndelea kupiga mbinjo
Mkuu hakuna mtu independent anaeweza kupiga picha za satellite Tel aviv yaani before and after missile attack on a particular target?Jamaa wapo vizuri sana kwenye kuzuia habari zisitoke..
Kwa unavyo ona wewe kwa kulinganisha habari zinazotoka israel na iran uwiano wake uko sawa?Tumebishana humu Leo siku nzima kuwa Israel watu wamekatazwa wasirushe habari. Niliwaeleza huwezi kuzuia watu wasirecord na kurusha, haiwezekani