Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,385
- 8,354
Natamani walibebe kimakosa wakalidondoshe Washington DC...Kufukua underground missile city za Iran, B-2 inajiandaa kufukua kwa bomb ambalo kishindo chake kinakaribiana na kishindo cha bomb la Nuklia GBU-57 Massive ordinance Penetrator.
Gharama ya hili Bomu tu ni Bilioni 849 waktsh kwa bomb moja. Ukijumuisha na gharama ya usafiri, maintenance na tahadhari inafika karibu Trillioni 1 za kibongo. Hapo ni bajeti za mwaka za wizara kadhaa.
Tujengeni nchi wazee vita sio poa. Na hapo linaweza kukosa shabaha au lisifikie lengo yote hiyo trillion moja ikawa sufuri au likatunguliwa hilo dege peke yake bila bomu bei yake ni
Trillioni 3 na uchafu😊😊
updates analeta kweli au nongwa ni sababu hasemi mlipuko ni mkubwa sana pindi Iran akipiga?😄Wakati mwanzo wa thread inaanza yeye alisema kwamba atakuwa anatuletea update za vita nzima
So it means aliamua kuwa reporter wa vita inayo endelea bila ya kuegemea upande ,
Wengine Hawa kusema hivyo
That's tuna m-judge
Ground war, USA ni mvivu sana hawezi kabsa hiyo vita ya ardhini.Vietnam alipigwa sana mabomu ya Napalm na B-52 lakini US alitema bungo
Hata tusiende mbali ilikuwaje US akakimbia Afghanistani na wale wale Taleban aliowakimbiza wamemtoa tena , na hata leo Iraq yupo kama hayupo
🤣Kwani mwamba akijiweka wazi kuwa yeye ni timu USA kuna atakaye muhoji au kumfunga😁😁😁😁
Za Iran ana report chache sana but now kidogo naona ameanza kubadilika baada ya wana kumshtukia humuupdates analeta kweli au nongwa ni sababu hasemi mlipuko ni mkubwa sana pindi Iran akipiga?😄
Unasikiliza mijadala ya Congress sasa hivi? Ushajiuliza why Trump alimlaumu Bush kupoteza USD 3T vita ya Iraq ,so hizo USD 3T zilienda wapi na kwa nini Trump alikuwa anamlaumu Bush.We unadhani hizo dollar zinaenda china au Russia😀
Marekani kwenye vita hua haangalii gharama hio sio nchi masikini ni hela wanatoa hapa wanaweka hapa😀Kufukua underground missile city za Iran, B-2 inajiandaa kufukua kwa bomb ambalo kishindo chake kinakaribiana na kishindo cha bomb la Nuklia GBU-57 Massive ordinance Penetrator.
Gharama ya hili Bomu tu ni Bilioni 849 tsh kwa bomb moja. Ukijumuisha na gharama ya usafiri, maintenance na tahadhari inafika karibu Trillioni 1 za kibongo. Hapo ni bajeti za mwaka za wizara kadhaa.
Tujengeni nchi wazee vita sio poa. Na hapo linaweza kukosa shabaha au lisifikie lengo yote hiyo trillion moja ikawa sufuri au likatunguliwa hilo dege peke yake bila bomu bei yake ni
Trillioni 3 na uchafu😊😊
Ukiripotia kutoka masjid kiembesamaki😁😁Watafute chaka tu! Vikao vyao vya kishoga now wakafanyie Vatcan! Israel tunaenda kuifuta yote
Njoo uchukue buku ukalie ndizi mkuu.Ukiripotia kutoka masjid kiembesamaki😁😁
Mm nataka kile kibibi Cha Ayatollah mke mdogo mjane nikipelekee Moto 😋Njoo uchukue buku ukalie ndizi mkuu.
Ila Iran wana nikosha sana mbwa miee 😁🤣🤣BREAKING:🚨🇮🇷 🇮🇱
Missile impact in Tel Aviv , Bahrain’s oil refinery BAPCO ,
Iraq , and UAE
Njoo kuna buku hapa ukalie ndiziMm nataka kile kibibi Cha Ayatollah mke mdogo mjane nikipelekee Moto 😋
PropagandaHawa jamaa wana roho ngumu sana aiseee.
Tangu nianze kusoma taarifa kuwa wanapigwa na Israel kila mara sidhani kama wangekuwa na uthubutu wakurusha hata jiwe kama kweli kipigo kikali kingekuwa kinawapata.
Nchi za kiarabu Zina ujinga mwingi sana, badala ya kumzuia USA asiingie vitani na Iran badala yake wameungana naye!!Tajiri kutoka UAE kamkaripia U.S kwa nini ameiingiza nchi ya UAE katika vita vyake na Iran
Mpaka vita iishe itakuwa inepata hasara kubwa sana hizo nchi maana walikuwa wanaingizia sana pesa za safari za ndege nk sasa hivi hakuna kitu kurukaNchi za kiarabu Zina ujinga mwingi sana, badala ya kumzuia USA asiingie vitani na Iran badala yake wameungana naye!!
Madhara yake hakuna kinacho toka Wala kuingia (no importation & Exportation) kila mtu kajifungia vituo vya ku-refine oil vyote vimefingwa, visima vya mafuta huko UAE baadhi vimeungua, gharama ya maisha zimepanda...
Unambia Ghuba countries nyingi wanapata hasara ya Dollar 1B kila siku ya vita, Sasa wataamua wao waendelee kuunga mkono USA au wajitoe? Uamzi juu yao.
Marekani kwenye vita hua haangalii gharama hio sio nchi masikini ni hela wanatoa hapa wanaweka hapa😀
hapo tu kwa comedy zele katoa zaidi ya dollar billion 60+ kule taleban alicha zaidi ya dollar billion 200, bila kusaha jamaa wanatumia kufadhiki makundi ya kigaidi huko nako wanatumia mabilion ya dollars
Angalia hizi zilivyo panda za makampuni ya silaha ya hapo marekani 😀😀 mwisho wa siku Iran lazma apige goti
USA wakianza uhuni wa carpet bombing yowe litakua kubwa sana
Hizo UAE, Qatar, Saudia hazina kitu zitaifanya kuizuia USA na Israel.Tajiri kutoka UAE kamkaripia U.S kwa nini ameiingiza nchi ya UAE katika vita vyake na Iran
Unaambiwa watu walianza plan ya mission ya kula kichwa cha Khamenei miaka 20 iliyopita alafu koma humu anasema wamekosea kumuuaBenja nyau amekutana na mkuu wa mossad muda huu
tutarajie surprise😋
MZee unazijua dollars 3T zikimegwa kutoka hazina😀Unasikiliza mijadala ya Congress sasa hivi? Ushajiuliza why Trump alimlaumu Bush kupoteza USD 3T vita ya Iraq ,so hizo USD 3T zilienda wapi na kwa nini Trump alikuwa anamlaumu Bush.