Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Yaani upo Tz halafu unamuona yule Seneta wa US ,ambaye amesomea kwenye mifumo mizuri ya elimu kuliko wewe, anajua mengi kuliko wewe na wengi wanahela na makampuni yao,anazungumzia upotevu wa hela kwenye vita visivyo wahusu,ila unasema hoja za pesa za wananchi zinatumika vibaya hazina mashiko?
 
USA akitoka hapo wanaolewa na Iran.
 
Iran naye hapoi!!!!!!!!!!!!!

​

Loud explosions heard in Tel Aviv​

​

Iran says it is targeting heart of Tel Aviv​

​

Israel says defence systems targeting incoming Iranian missiles​


Large booms rang out across Tel Aviv and other parts of Israel as Israeli defence systems attempted to intercept an Iranian rocket volley on Friday morning.

 
Waarabu wanalalamika kuwa wao ndio walio finance kuundwa kwa Board Of Peace ajabu ni UAE kuingizwa kwenye vita vya Iran kwa wao kushambuliwa wanalalamika nafasi ya Marekani kwao na maslahi yake kwao
 
Mbona mapema hivyo!!!!!!!!!!!!!

White House to push defense firms to boost weapons output​


The Trump administration plans to meet executives from major U.S. defense firms on Friday to discuss accelerating weapons production to replenish stocks drawn down by strikes on Iran and other recent operations, sources said.

 
N
Nukuu za gaidi Ayatollah:

Irani inamfumo wa ulinzi hata nzi hawezi kupenya🤣🤣
 
Kama unatumia silaha lazima urudishie stock. Sasa kwa vita kama hii lazima warudishie kwa speed ya rocket.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…