Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Duh meli iko jangwani. Vipi walivyoiplipua wakaivua mpaka jangwani Iran? 😀😀😀
Chief..soma kuhusu Tide and Tide.
Kuna wakati bahari inahama na kurudi.hii picha ilipigwa wakati bahari imehama.
kumbe watu wanachukua picha kwa wizi wizi usijeonekana.
Israel wakikuona unachukua picha unauwa hapo hapo..hawataki habari hizi zisambae.
 
Location hiyohiyo uliopost meli, ukaamua tena upost na ndege .
AU HUJAGUNDUA LOCATION YA MELI NA NDEGE KUWA NI SEHEMU MOJA?
 
Chief..soma kuhusu Tide and Tide.
Kuna wakati bahari inahama na kurudi.hii picha ilipigwa wakati bahari imehama.
kumbe watu wanachukua picha kwa wizi wizi usijeonekana.
Israel wakikuona unachukua picha unauwa hapo hapo..hawataki habari hizi zisambae.
Bahari ikihama linabaki jangwa sio okay asante nimeelewa.
 
Babu gaidi Ayatollah aanza kufurahia maisha mapya

Tayar ana mmoja Kati ya wale 72 tulioahidiwa na molaa wetu😋😋😋
 
Attachments

  • Screenshot_20260306-152403_1.jpg
    574.1 KB · Views: 10
IRGC aerospace commander
Tumerusha kombora moja lenye makombora ndani yake 80 yenye kulenge targets 80. Tukirusha ya hivyo 100 tutalenga targets 8000 ndani ya Israel.
Huu mkwara au fact?
Kuna missile walitumia mwisho wa vita vya siku 12, lile Lina vibomu vidogo vidogo ndani likipiga sehemu ni mtaa mzima,

Kuna hili cluster bomb la sasa nalo pia linachanguka vipande vingi,

Issue ya precision sifahamu, Ila I doubt kila kipande kina precision ya kupiga sehemu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…