Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Na atapoteza

huyo mtu wa Mungu mwambie Aachen kutumia ugoro kama kilevi.
 
Labda
Labda hawana hayo makombola.
Naona tu wanahangaika na ndege
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Hata huduma za jamii pia unaweza kuziexperience ukiwa google map(mtandao wa mu iran)

Ngoja tutabishane badae, naskia wanajeshi wa iran wanavaa ushungi ili kukiepuka kikombe cha mmarekan
Ubora wa huduma unaweza kuzungumzwa na kusifiwa hata mitandaoni, na tukapata kujua ubora wa huduma za kijamii za Nchi husika,

Mfano Nchi kama bluenei wengi wetu tunaijua sifa zake kwa kupitia mitandaoni Ubora wa huduma zake za kijamii na Kila kitu , mambo yapo wazi sana siku hizi mkuu labda uwe hutaki kutafuta maarifa
Response of Iran to Trump " Our fate can not be determined by an epstein gang".
🀣🀣
 
Yule jamaa ni chizi 🀣
 
Unaonesha kiasi gani elimu duni,hapo 'angu' umemaanisha nini?..nani alikwambia thamani ya sarafu huakisi ukubwa wa uchumi?
Someni kenge nyinyi,siyo mnakariri na kubweka tu madarasani
🀣
 
Mkuu sio kila makombora yakirushwa yanapiga. Kuna interception. Hata yayayopenya huwa sio yanapenya yote

Pili, hizi wave za leo zilikua na missiles chache(4, 5)
Wewe Tena msemaji mkuu wa Mossad 🀣🀣

Kila bomu linakutana na intercept πŸ™Œ
Kwanini ujikite kuwa negative na instead of kusema zitakuwa zinezuiwa na intercept ukubali tu kwamba missile zime hit target!?

Why uko negative Sana Mzee na mashambulizi ya Iran !?


Kongole sana mkuu
 
Huyo hata sources za kizushi ,unapoteza mda wako ,huyo habari zake anatoa telegram au Facebook. Leo vyombo vyote vya magharibi vimeripoti baadhi ya maaeneo ambayo mabomu yamehit ardhi ya myahudi, sasa hivi hata hayo mahandaki yanafumuliwa kishenzi.

View: https://m.youtube.com/watch?v=iXUXeIHEVh4&pp=0gcJCY4Bo7VqN5tD

View: https://m.youtube.com/watch?v=URhMKCaLn9Y&pp=0gcJCa4KAYcqIYzv

View: https://m.youtube.com/watch?v=fIQzFdu6RC4

View: https://m.youtube.com/watch?v=dO_M3Lv8jMA
Hamna Tech ya kuzuia Cluster bombs.

View: https://m.youtube.com/watch?v=v55Jpj7jG34
So Iran hata akipiga mawili kwa siku inatosha, hata aliyekuwa kwenye handaki kwa sasa hayupo salama na hapo Iran anakuambia bado hajatumia sila zake bora.
 
MIMI SIELEWI YOYOTE MPAKA ANIAMBIE MTU ANAEISHI PALE, YANI UPO MPITIMBI HALAFU UNIAMBIE HABARI ZA U.S.A PALIVYO NA MAISHA YAKE KWA UJUMLA..? UMENICHUKULIAJE BRO, WEWE LABDA UNIELEMISHE KUHUSU PEMBEJEO NA BEI YA KIROBA CHA MKAA
 
MIMI SIELEWI YOYOTE MPAKA ANIAMBIE MTU ANAEISHI PALE, YANI UPO MPITIMBI HALAFU UNIAMBIE HABARI ZA U.S.A PALIVYO NA MAISHA YAKE KWA UJUMLA..? UMENICHUKULIAJE BRO, WEWE LABDA UNIELEMISHE KUHUSU PEMBEJEO NA BEI YA KIROBA CHA MKAA
Umeshawahi kufika USA !?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…