100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Hata CHina nadhani anausoma mchezo, siku akichefukwa anaichukua Taiwan mapema saa 1o alfajiri.Kabsa Kaka... Lakini pia kitu Kingine Iran imeonyesha Kuwa USA ni mbwa mwenye sauti kubwa ya kubweka lakini Hana meno ya kung'ata, hii itawapa mataifa mengine ujasiri wa kuivimbia USA.
Iran ni washenzi sana, kuna radar flani nimeona zimepigwa nadhani ni Qatar , yaani wamepiga radar zote za pembeni, wakabakiza moja π€£ π€£ , ina maana itakuwa ana intel kazi ya zile radar zote.. itakua zile zingine ni za early warning ile imebakizwa labda sio threat kwao..Seneta wa USA Chris Murphy, "Iran inaonekana kutuzidi nguvu na ujanja maana kila eneo la siri mashariki ya kati imeguswa".
Halafu watu wanaropoka nyenyenyinyonyunyunyuu eti Iran dhaifu.
duh hii ndo big one niliona mahala ndege za USA zikishushha mizigo kule ukπ₯π₯π₯π₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la kambi ya mizinga magharibi mwa Tehran. Mlipuko mkubwa sana. Eneo kubwa mwanga mkali umetokea(ni eneo lililo hifadhi ya mizinga)
View attachment 3553948
Hao jamaa kwa vita achana nao.Iran ni washenzi sana, kuna radar flani nimeona zimepigwa nadhani ni Qatar , yaani wamepiga radar zote za pembeni, wakabakiza moja π€£ π€£ , ina maana itakuwa ana intel kazi ya zile radar zote.. itakua zile zingine ni za early warning ile imebakizwa labda sio threat kwao..
Kama wana intel za ndani kiasi hiko basi ni halali US atoe mlio.
Sasa Israel na US mpango wao wa kupeleka ground forces ni kama unakufa..Hao jamaa kwa vita achana nao.
We rejea vita ya Iraq-Iran war. Iran ilikua ikipokea kichapo kuanzia 1980 ila kufika 1985 game ikabadilika. Kwanza jamaa wana endurance ya hali ya juu.
Kuvumilia kichapo miaka zaidi ya mitano tena unachangiwa na mataifa matano makubwa sio utani.
Na baadae unapindua meza wewe ndio unaanza kutoa kichapo,hadi kinyago waliomtuma anaanza kuomba amani.
Hiyo nchi ndio uje uifananishe na hii takataka Israel!??
Professor Marandi namkubali sana huyo mzee..Dah simu yangu jau ila kuna video nimeiona aiseee hapana.
Zike cluster munition kuna moja ilitua Tel Aviv ika fail detonation.
Fire fighters waliposogea aisee mzigo ukakubali hadi magari yamebituka na maji yake.
Marandi ndio karusha hiyo video.
You nailed it, Leo nilikua napitia makala Moja hivi... Nikaona Iran milima Zagros and Alborz yenye Kilele Cha MITA 4000-5000 kwenda juu, then kwenye hiyo milima underground ndiyo wameweka bunker weapons ambayo inasemekana Mita 300 kwenda chini...Iran missiles city wameweka hadi mifumo ya kuzuia shockwave, ukipiga kombora mlangoni, kuna tunnels inafyonza ile shockwave isiingie ndani kuharibu makombora...
US na ISrael wana deal na watu ambao wap mbele ya muda..
Wanatengeneza fake radars zina emitt signal..
Wanasema missiles city zipo chini ya milima, wanasema hata upige kwa bunker buster yenye uweo mkubwa zaidi huwezi fikia missiles hizo.
Ingalikuwa ni rahisi, hata sasa US na ISrael wangesha haribu..
Mbona hujasema Dubai imeshambulia ?π₯π₯π₯π₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la kusini magharibi mwa Tehran
Mkuu nafatilia zote Ila niliamua niweke humu zinazotokea Israel na Iran. Hata Israel ikishambulia Lebanon nazo nimeacha. Nimeconcentratw na kinachotokea ndani ya Israel na ndani ya Iran.Mbona hujasema Dubai imeshambulia ?
Ongezea wanaweka concrete ngumu juu... halafu juu kuna miamba migumu..You nailed it, Leo nilikua napitia makala Moja hivi... Nikaona Iran milima Zagros and Alborz yenye Kilele Cha MITA 4000-5000 kwenda juu, then kwenye hiyo milima underground ndiyo wameweka bunker weapons ambayo inasemekana Mita 300 kwenda chini...
Nikawa najiuliza hapa hata Nuclear haiwezi ikatoboa kwenye hizo bunker ... GBU 57 ni Cha utoto kabsa kwa kwenye hizo Bunker...
Hapa Marekani atajitekenya mwisho atamwaga manyanga.