City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Mwenzio analipwa na wayahudi wa vichedi kongowe!Huyu City Thunder OKC lazima ni jobless
🤣🤣🤣🤣Huyu City Thunder OKC lazima ni jobless
MLIPUKO MKUBWA SANA, BORA MAGAIDI WAOMBE TUU MSAMAHA TRUMP NI MUELEWA ATAWASAMEHE
Magaidi waombe po kwa kweli.MLIPUKO MKUBWA SANA, BORA MAGAIDI WAOMBE TUU MSAMAHA TRUMP NI MUELEWA ATAWASAMEHE
Nawashangaa sana, sasa kama Iran hashambulii wanataka aseme uongo labdaMagaidi waombe po kwa kweli.
Mashabiki wa Iran humu ndani wanamsemwa City Thunder OKC kuwa analeta habari za Upande mmoja wakati Iran kwa siku wanarusha makombora 20 tu, wakati Israel na Marekani kwa siku wanarusha makombora zaidi ya 100
Watu wanapaswa kuelewa hata makombora Tehran yakirushwa haimaanishi kuwa lazima yatapiga. Yanaweza yote kuwa interceptedMagaidi waombe po kwa kweli.
Mashabiki wa Iran humu ndani wanamsemwa City Thunder OKC kuwa analeta habari za Upande mmoja wakati Iran kwa siku wanarusha makombora 20 tu, wakati Israel na Marekani kwa siku wanarusha makombora zaidi ya 100
na umekuwa fair sana.Watu wanapaswa kuelewa hata makombora Tehran yakirushwa haimaanishi kuwa lazima yatapiga. Yanaweza yote kuwa intercepted
Leo Iran imerusha makombora yamekua intercepted. Kwa juzi jana na leo waliporusha ilikua low barrage. Vita bado ipo, tusubiri walianza tena kurusha kwa wingi kama mwanzo
Jamaa ni mpika propaganda mzuri sana tangu vita za Russia na Ukraine.Huyu City Thunder OKC lazima ni jobless
Zungu yule sio mtoa habari, kachagua upande hadi dp kaweka ya yule mzeena umekuwa fair sana.
Jamaa wanataka useme uongo kama zungu.
Juzi nilisoma kwenye page yake akisema Iran, imetoa hii taarifa kuwa ilichora chinj mfano wa ndege ili kuwachanganya israel. Kitu ambacho ni cha uongo kabisa, Iran hawajawahi kusema kabisa kitu kama hichi. Iran hawawezi kutoa taarifa ya kitoto kama hii. Jet inawezaje kudetect kivuli Cha chini na kuhisi ni ndege? Hata huyu mwandishi ameshindwa kujua kuwa shambulizi la jet halifanywi kwa machona umekuwa fair sana.
Jamaa wanataka useme uongo kama zungu.