comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Huyo alimbishia trump kua ayatolla hajafaJuzi nilisoma kwenye page yake akisema Iran, imetoa hii taarifa kuwa ilichora chinj mfano wa ndege ili kuwachanganya israel. Kitu ambacho ni cha uongo kabisa, Iran hawajawahi kusema kabisa kitu kama hichi. Iran hawawezi kutoa taarifa ya kitoto kama hii. Jet inawezaje kudetect kivuli Cha chini na kuhisi ni ndege? Hata huyu mwandishi ameshindwa kujua kuwa shambulizi la jet halifanywi kwa macho
Hata hivyo Iran hawawezi kabisa kufanya huu utoto
View attachment 3554354
Mkuu niseme intercepted wakati hayajawa intercepted ili nipate faida gani?Secunder Kermani international affairs correspondent mtafteni huyu jamaa.
Amerusha video yale makombora yaliorushwa na kuna MAFALA WANASEMA YAMEKUWA INTERCEPTED WAONGO.
CENTRAL ISRAEL IMEKUA GROUNDED HUKO WATU WANAKUSANYA MAITI.
SECUNDER KERMANI AMERUSHA VIDEO.
HAO PRO ISRAEL WASIWADANGANYE ISRAEL UWEZO WA KUDUNGUA PRECISION MISSILES HAWANA ASAHIVI.
HATA NORTH ISRAEL HIZBOLLAH INAWAFUMUA VIBAYA.
NA HUYU KERMANI HAWAWEZI KUMKAMATA MAANA NI FOREIGN AFFAIRS CORRESPONDENT.
Mnawachokoza...watayavurumisha mkose pa kutokea.Mzigo umekata
Mkuu jamaa City Thunder OKC anasema na kaleta ushahidi ndege zinatoka na kutua Tel aviv, wewe unasemaje?Secunder Kermani international affairs correspondent mtafteni huyu jamaa.
Amerusha video yale makombora yaliorushwa na kuna MAFALA WANASEMA YAMEKUWA INTERCEPTED WAONGO.
CENTRAL ISRAEL IMEKUA GROUNDED HUKO WATU WANAKUSANYA MAITI.
SECUNDER KERMANI AMERUSHA VIDEO.
HAO PRO ISRAEL WASIWADANGANYE ISRAEL UWEZO WA KUDUNGUA PRECISION MISSILES HAWANA ASAHIVI.
HATA NORTH ISRAEL HIZBOLLAH INAWAFUMUA VIBAYA.
NA HUYU KERMANI HAWAWEZI KUMKAMATA MAANA NI FOREIGN AFFAIRS CORRESPONDENT.
Hii hakuna mtaalam wa vita aliisema hii mbinu humu?Juzi nilisoma kwenye page yake akisema Iran, imetoa hii taarifa kuwa ilichora chinj mfano wa ndege ili kuwachanganya israel. Kitu ambacho ni cha uongo kabisa, Iran hawajawahi kusema kabisa kitu kama hichi. Iran hawawezi kutoa taarifa ya kitoto kama hii. Jet inawezaje kudetect kivuli Cha chini na kuhisi ni ndege? Hata huyu mwandishi ameshindwa kujua kuwa shambulizi la jet halifanywi kwa macho
Hata hivyo Iran hawawezi kabisa kufanya huu utoto
View attachment 3554354
Milipuko mikubwa ๐๐๐๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora kambi ya jeshi eneo la Bushehr