City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Pako na nini hapo mbona panapigwa sana kila siku?π₯π₯π₯π₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora Isfahan. Milipuko mikubwa
View attachment 3554469
Kambi za kijeshi na missile depotsPako na nini hapo mbona panapigwa sana kila siku?
Mkuu hskuns kiumbe kinachofurahi kifo usitutanie na ndio maana wakati mtangazaji wa TV ya taifa wa UmIran alikuwa analia wakati anatangaza kifo cha shujaa Ameney.Huyo kafa shahed kwa mujibu wa dini yao, makamanda wengine hapo wanataka na wao wafe kama yeye...
Ambacho wengi hawajui, waislamu mwezi huu wa ramadhani kufa kama hivyo kama yupo kwenye funga na amekufa akiwa kwenye mapambano ina maana amekufa shaheed. Hapo hakuna hata huzuni baina yao.
Waandishi au wachambuzi wengi kipindi hiki toka vita ya gaza wamejishushia sana heshima wameonesha ni unprofessional kabisa kwenye kutoa habari, wametuyumbisha sana na habari au uchambuzi wao usio na uhalisia.Huyo alimbishia trump kua ayatolla hajafa
Ni Eneo Lao kisheria na Amri imeshatoka hakuna Meli kupita, Huyo Raia anayepita nchi ya Watu Hali ya kuwa wenyewe wamepiga marufuku usipite yeye ndio ana kosa.Ila Iran anavyopiga meli za kiraia zikizobeba mafuta unaona sawa? Ngoja niishie hapa.