Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kuna vitu vingne Wala usihangaike kuvielezea humu Kuna watu wanata kulazimisha kuwa mashambulizi ya Iran ni makubwa kuzidi ya USA na Israel ivi kwa akili ya kawaida TU Israel ilivyo kwa kaeneo kadogo kale kama Kila kombola lingekuwa linatuwa si ingekuwa imeisha lakini utashangaa unaambiwa Ben gurion imepi Kuna vitu vingne Wala usihangaike kuvielezea humu Kuna watu wanataka kulazimisha kuwa mashambulizi ya Iran ni mazito kuliko ya USA na Israel kitu ambacho hata TU kwa leo ni siku yasita lakini ajabu wanakwambia Ben gurion imepigwa lakin watakwambia imepigwa vibaya mno kesho pia watakwambia vivyo hivyo lakini Leo tumeona shambulio la USA na Israel kwenye kiwanja Cha ndege Cha Iran shambulio Moja TU kiwanja hakifai tena
 
βœ… An Indian journalist who returned from Israel revealed a shocking truth:

Even shelters are not safe; people have been killed deep inside them. Iranian missiles sometimes strike without any warning sirens. The Israeli government blocks access to hospitals, hides the casualties, lies about the damage, and does not allow filming.

100 others Khaibar joseph1989 ITR baba-mwajuma RRONDO matunduizi
 

Attachments

  • VID_20260307_235342_223.mp4
    4.4 MB
Watakwambia kihindi hawaelewi licha ya kuwaletea tafsiri hapo juu ya article.
Vita hii tutashuhudia mengi..
 
πŸš€πŸ’₯ Iran and Hezbollah unleash missile barrage on northern Israel

Footage circulating online shows missiles striking northern Israel, reportedly launched from Iran and Lebanon.

The Israeli military said Hezbollah is firing rockets toward Tel Aviv, as sirens and air raid alerts sound across several areas.

πŸ“Ή Videos shared on social media show Kiryat Shmona under rocket fire from Lebanon, with the Iron Dome attempting interceptions, while other footage shows Iranian missiles targeting Tel Aviv.
 

Attachments

  • VID_20260308_000334_509.mp4
    1.1 MB
  • VID_20260308_000332_391.mp4
    6.2 MB
  • VID_20260308_000329_524.mp4
    775.4 KB
  • VID_20260308_000331_137.mp4
    1 MB
  • VID_20260308_000305_137.mp4
    775.4 KB
Wajukuu wa Ayatolah mnapenda kujifariji. Ni kweli kabisa Iran inaifuts a Israel kwenye uso wa dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…