Russia mpaka Sasa ame- achieve alicho kua anakitaka... Mpaka saivi Ukraine na NATO wameshindwa kuyakomboa maeneo yaliyo chukuliwa na Russia.. unasemaje ameshindwa? Uko sawa kweli wewe?
Ndivyo mnavyodanganyana misikitini?Binafsi siwapendi hawa wa marekani natamani wangefutwa kabisa duniani
Wakati anauawa Kennedy Usa alikua kwenye vita na nchi gani.Dr. Sule ndio nani??
Mbona unashindwa kutumia akili unazidi kuropoka?
John F. Kennedy rais wa zamani wa USA aliuawa,je USA ni dhaifu!??
Naomba jibu tafadhali.
Kama serikali ya Iran dhaifu kwanini Trump ameshindwa kuiangamiza hadi sasa!??
Je regime change imefanikiwa Iran??
Nataka majibu kama mtu mzima usiniletee majibu ya kihanithi.
Mkishafuturu tu mnakosa akili mnaanza kubwabwaja ovyo.
Ni mjinga pekee atakayeamini hili,yani adui aliyekuulia viongozo wako,umejua alipo ila unapige pengine eti kutoa warning?Mkuu unaambiwa hivi mazayuni wanapigika vibaya mno na kama wasingekua wananaminya taarifa sijui tu ingekuaje lakini pia kulikua na tetesi za IRGC kutaka kumua Netanyahu maana mpaka mda huu Iran Ana idadi kubwa ya location za bunker za ndani ya isreal. Ndioo maana alivyozipiga ilikua ni kuwapa onyo na ujumbe sio tu kwa raia bali viongozi kuwa humo wanapojificha sio salama.
mshangao watu wa Iran wanafurahia kuliko wasio wa IranKuna nchi imechapwa huko hadi mvua nyeusi inanyesha! Mji umejaa moshi angani mpaka maji ya mvua yanachanganyika na moshi na mafuta angani! Nitaleta hanari zaidi ni mji gani. 😁
Mkishafuturu tu mnakosa akili
Mkuu nimecheka sana kwan dr sule ana kosa gani 😂😂😂😂😂Sasa mtu anamsikiliza Dr . Sule katika Karne hizi Huyo mtu wewe unamuonaje ?? 😄😄
Aiseeeee 😂😂😂😂Hawa wamezoea story kama Ayatollah Khomeini aliyepigwa dk ya kwanza ya pambano 😄😄😄
Wanafikiri vita ni maneno maneno
Vita ni akili na Rasilimali
Context ni KIONGOZI KUULIWA. Kheri huyo ameuliwa vitani kuliko Kennedy aliyekuwa easy assassinated.Wakati anauawa Kennedy Usa alikua kwenye vita na nchi gani.
Hii vita sio ndogo iran naye alijipanga ila ndio hivyo hawezi toboa na regieme change ndio lengo kuu la israel na usa.
Jiandae kwa hashatag za Pray for iran mana tayari ameshalegea hadi anaanza kuomba msamaha mapema.
-Kambi zake middle east ikiwemo Manam ni target ya hovyo?Ni mjinga pekee atakayeamini hili,yani adui aliyekuulia viongozo wako,umejua alipo ila unapige pengine eti kutoa warning?
Kiufupi irani ni hamnazo ndio mana karusha makombora hovyo bila specifica target,usa na israel kwa sasa wanatamba tu ndani ya anga la irani bila kizuizi mana iran kalegea amebaki kumalizwa tu.
Na wale waliokua wakiimba Death to America ni kina nani? Au wapogoro?mshangao watu wa Iran wanafurahia kuliko wasio wa Iran