Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Tapeli muongo muongo , Ulishawahi kuona wapi mtu wa takbirrrrrrrrr akawa na Akili timamu!?
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ƒ
Wewe bana acha utagombana na watu humu
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Assassination iliyofanyika huko hamedan ilikua kuuwawa kwa Mohamed mehdi farhadi. Alikua meneja wizara ya intelijensia ya Iran. Alikua alihusika na cyber activities(hacker). Alikua akiwindwa kwa mud mrefu


Sehemu alipofanyiwa assassination
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…