City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Hhhhhhh hili ni lipumbavu kweli kweli
Mbona hawajavaa hijab?π₯π₯π₯π₯
Mabinti watano wa timu ya wanawake ya Iran, wamepata msaada wapo na waziri wa uhamiaji wa Australia. Hivyo watabakia Australia
View attachment 3555741
Mkuu embu tumia basi akili, kwani Marekani akisema vita imeisha Iran anazuiwa kuendekea kushambulia? Usipende kujiandikia humu jf kila kilicho kichwani mwako humu kuna watu wenye uelewa mdogo na mkubwa.
Alitaka wamchague mama yake?π₯π₯π₯π₯
Trump: wamefanya kosa kubwa kumchagua mojtaba kuwa kiongozi mpya
Maoni yako yaheshimiwe kwa kuwa ni maoni tuNaona Trump mdogo mdogo anajiandalia upenyo wa kuchomoka kwenye vita π€£.
Halafu, Israel inaficha nini? Kwa nini hawaruhusu watu kupiga picha yanayoendelea ndani ya Tel Aviv na kwingineko?
Inasemekana huko Israel ukikamatwa unapiga picha madhara ya makombora ya Iran na kuyarusha kwenye mitandao, adhabu yake ni jela!
Hivi, kam kweli hiyo iron dome ingekuwa ni mfumo kabambe wa kutungua makombora, si Israel ingetaka kuonyesha umahiri wa huo mfumo?
Kuna jamboβ¦..
Trump na Netanyahu watajitangazia ushindi halafu watajichomoa kwenye vita baada ya kuona labda mambo yamekuwa magumu kuliko walivyotarajia.
Ila mimi nahisi madhara ndani ya Israel ni makubwa na Israel inaona haya yakijulikana.
Halafu, sidhani kama Israel inaweza kupambana yenyewe tu bila msaada wa Marekani.
ππππ Kumbe huwaga tunailaumu ccm Bure tu kmmk , Diplomacy nzuri mpaka ule utakapoanza kuchezea kichapo ndio utaona Ubaya wake
π€£Kashindwa au vipi kwanini ajitangaze mwenyewe Mshindi!!!!
Akili Hana !!! ππ Ndio akome kuwa underestimate wapinzani wake
Hiyo kauli ya mwisho haipaswi kuwa sidhani, Ukweli ni kwamba Iran sio kitu Cha mchezo mkong'oto walio upokea USA na Israel sio wa sayari hii Kila mtu kajionea ambaye anaye fuatilia hii vita Kwa kina Hali inatisha , netanyahu anapaswa kuuwawa ana wapa shida sana raia wa Nchi yakeNaona Trump mdogo mdogo anajiandalia upenyo wa kuchomoka kwenye vita π€£.