Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Ujinga mtupu humu,mmoja anajiona Bora kwa dini aliyoletewa na mwarabu na mwingine anajiona bora kwa dini aliyoletewa na Mzungu Na wote eti ni wasomi.Bora msingeenda shule tu.Pumbavu zenu wote
 
B
Trump kashaaanza kuandaa watu Kisaikolojia Ngoma imemkalia kooni Jana kwenye press anasifia mambo madogo ya kuzamisha meli na kuyakuza mno kuwa ni ushindi mkubwa utadhani ndio yalikuwa malengo makuu ya vita
Mkuu acha propaganda basi kwa hiyo unataka apige vyanzo vya umeme Iran wakae giza? Mbona mnapenda wenzenu wateseke? Embu vaa basi viatu vya wa Iran. Marekan yeye nchi yake ipo safi raia wake wapo safi na amani tele wanaopigani ni wanajeshi ambao tena nje ya nchi ambao ndio kazi yao hiyo.

Sasa kama Iran ameshinda si akateke kambi za Amerca hapo mashariki ya kati.
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la maraghrt
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la Tabriz
 
Issue ya maji kalipua UAE kulipiza kisasi
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kerman airport
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…