Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Nyie pigeni propaganda tuu hapa lakini mkae mkijua uwanja wa mapambano upo Iran,anapigwa kama ngoma huko. Halafu hata bila kutumia sayansi ya vita,hivi inakuwaje wewe unarusha missile na drone hovyo hovyo halafu nyumbani kwako unashambuliwa kwa hali zote kuanzia,majini,angani wewe unakula kisago tuu hata kuzuia huwezi halafu ndio uje ushinde vita kwa kutegemea land based missile na one way drone kweli.
 
Huyu anafile lake milembe kaka usimalize muda wako
 
Kremlin wamelitangaza hilo kuwa Trump alipiga simu kuongea na Putin juu ya njia za kuimaliza hii vita.
Pia wamegusia kuhusu vikwazo vya Russia na vita ya Ukraine na mafuta ya Venezuela.

Ila hao mambumbumbu watakwambia "Iran kashikwa pabaya".
πŸ˜„πŸ˜„ Simply mathematics kama wewe ndiye unanipiga na kunishambulia iweje wewe unaye nipiga unatafuta suluhu !?
 
Kwahiyo Kremlin Moscow wanaleta propaganda!??
Hizo kauli nenda kawaambie Kremlin ambao wamesema Trump amepiga simu kujadili namna ya kuimaliza vita kidiplomasia.

Na kwa akili zako USA ni ya kuruhusu vikwazo vilegezwe kwa Urusi kirahisi!?
Mida mingine tumia akili sio unaropokwa tu.
 
Naona umerudi tena baada ya kuokoteza habari zako kwamba Congress wamempa go ahead Trump na ukashindwa kujibu hoja yangu. Iran angekuwa anarusha missile hovyo ,kusingekuwa na mijadala CNN ya kuwalaumu Russia kwamba wanawa Intel Iran ya kujua locations zilipo millitary resources na kambi zao za kijeshi. Mpaka sasa radar nne,moja wake gharama yake ni 1.1B USD zimelipuliwa. Sasa hicho kisago sijui wanakitoa vipi.
 
Wewe ndiye utumie Akili , kama hawana shida na raia Ilikuwaje wakalipua shule na kuua decent pupils!?
Ndio maana nimesema utumie akili sasa hichi ndio nini umeandika? Yaan hadi sasa hujui nani aliuwa watoto na kwa nini?
 
πŸ˜„πŸ˜„ Simply mathematics kama wewe ndiye unanipiga na kunishambulia iweje wewe unaye nipiga unatafuta suluhu !?
Kuna watu huwa mie nawatukana muda mwingine,yani wanakua kama mafala wanajitoa akili.
Yani vyombo vikubwa vimetangaza wakiinukuu Kremlin kuwa Trump amepiga simu kuomba usaidizi wa kumaliza vita ya Iran,mtu anakwambia PROPAGANDA.Huyu mtu makalio nini!?
Inamaana yeye ana taarifa muhimu kuliko Kremlin??
Trump amesema kuwa wanatizama namna ya kujadili usitishwaji vita na Netanyahu.
Haijaisha leo hii kasema "Kwangu mimi vita imeisha,na Iran akiendelea tutamjibu mara 20 zaidi ya mwanzo". Hizi kauli kirahisi tu mtu unajua kuwa inatafutwa kuokolewa Israel na watu kusitisha vita.
Ila kuna NGURUWE PORI YUPO NAMTUMBO SONGEA anakwambia HIZI PROPAGANDA.
 
Huyo wa kumsamehe tu maana haelewi alisemalo.
 
The chairman of the US Joint Chiefs of Staff said he β€œrespects” Iran’s resistance in the war but doesn't see its forces as stronger than anticipated. Speaking at the Pentagon, General Dan Caine said Iran's forces were β€œfighting”, but β€œnot more formidable than what we thought.”
 
Uwongo ni mwingi kuliko uhalisia humu, kila mtu unajiandikia tu kisa ni pro Iran au Israel
Wala hakuna u-pro Kuna watu wanapost data na zinafact ila Kuna wengine wameweka ushabiki maandazi mbele , sisi pro Iran hatukatai kwamba Iran inashambuliwa pia lakini kilichopo ni kwamba Wanashambuliana Iran ana chapika na Israel na USA wanachapika ni piga ni kupige

So wale ambao ni pro USA na Israel hawakuwahi kutegemea kuona scenario kama hiyo ikitokea Kwa upande wao kwasababu walisha fanyiwa propaganda miaka na miaka kwamba Nchi wanazo zishabikia ni untouchables matokeo yake Sasa hizo Nchi zimekutana na Iran chuma Cha pua Anawapa mkong'oto heavy so kinacho tokea ni kwamba kutokana na hayo matokeo pro Israel and USA wanashindwa kukubali huo ukweli kwamba wanachapika kwakuwa nikinyume na matarajio Yao Hawa kutegemea kuona haya yanayo tokea πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Iran sio libya
 
India ndio kaomba kwa Marekani aruhusiwe kununua mafuta ya Urusi ili kufidia gap la mafuta ya Waarabu na Marekani kakubali kufanya hivyo,tafuta habari usipende kuokota habari zinazokufurahisha wewe tuu.
 
Mwambieni trump Apitishe meli Hormuz tuone , kama kweli uwanja wa mapambano upo Iran

Israel imegeuka kuwa Gaza huko everywhere moto tu unatapakaa halafu mnajifanya Hamjui kitu Aibu sana mwaka huu
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Frank Wanjiru unaleta mahaba kwenye logic

Yaani ushabiki maandazi unajifanya una loose your sense really!?

Kwahiyo Kremlin wanafanya propaganda!? Hii hoja tunaomba uijibu tafadhali
 
Hoja gani niliyoshindwa kujibu,ulileta hapa uzushi eti masenator hawataki vita nikakwambia kuwa huo mswada Democrats walishaupeleka Congress then Senet na ukashindwa kupita na mpaka ushahidi wa hizo kura nilileta hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…