Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

ayatollah watamfanya vibaya sana kama saddam na ghadaf walivyokufa vibaya. Sijui atakimbilia nchi gani akajifiche huko, kwanza anga imefungwa atakuwa humohumo iran akimangamanga kujificha na mwisho watampata kama panzi!
 
Dahh 😄

Hiyo series inaongelea jinsi dini zinavyo tumika kuwalaghai watu Kwa mgongo wa mungu kumbe ni utapeli na ni mifumo ya wajanja wachache kuwatawala wajinga wengi
Ni series kumbe?
Sasa hiyo inafahamika mbona hata huku wanajipigia mataahira wao kwa mgongo wa dini.
 
Hii dunia hii! Kwanini Iran asiachanena hizo nuclear weapons? Kwanini USA amzuie Iran kujifanyia mambo yake?
Naskia eti Iran anafadhili makundi mengi ya kigaidi kwa hiyo Marekani ina wasiwasi kuwa akimiliki hizo nuclear ataweza kuwapa hao magaidi wazitumie.

Hii ndio sababu ambayo nimekuwa nikiisikia ila sijui kama ina ukweli wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…