Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

So Kwa Putin hii vita kwake ni Opportunity kubwa !? Ni mbuzi kafia Kwa muuza soup !?


Yaweza kuwa yeye ndiye anaye waambia Iran waendelee kukaza ili wapige pesa za wese maybe Iran ana % zake endapo EU watampigia magoti Putin na kuhitaji nishati yake !?
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Mazishi ya majenerali wa jeshi la Iran waliouwawa wakati wa mashambulizi
 
Yani kwa Vita ya Iran ndani siku 3 missile 800 !!!!! πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯

wkt Vita ya Russia na Ukraine ndani ya Miaka m4 zimetumika missile mia 400 tu.

Iranian shikamooo sio pooooo ni MOTO.
 
Yani kwa Vita ya Iran ndani siku 3 missile 800 !!!!! πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯

wkt Vita ya Russia na Ukraine ndani ya Miaka m4 zimetumika missile mia 400 tu.

Iranian shikamooo sio pooooo ni MOTO.
🀣🀣😁😁
 
Imagine it was vice versa na msalaba mwekundu ndio wamepigwa, kila chombo cha habari cha Dunia kingeripoti.
IRC wanatoa msaada na taarifa. Sio kwamba wao ndio wamepigwa. Ila wanasema ni residential buildings
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la asadabad Hamedan
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la imam Hussein university
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…