Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Je ni kweli IRAN imeweza kusimama Kivita na Mataifa mawili yani MAREKAN na ISRAE!!

Na kuwatetemesha kiasi sasa ni wao ndio wanatafuta njia ya kurusha taulo Uwanjani!!!

Kweli Dunia inazunguka. MUISRAEL kawa ngoma ya Iran!!!!
Irani ni mgumu kiukweli, vita ya siku 12 jamaa walipambna. Kavamiwa tena kwa kuuwawa mkuu wa nchi na nakamanda kibao but bado jamaa wanajibu na hawakubali tu. Kuna kitu hawa Urani wanatuficha yaan dunia haijui..huwezi kushambuliwa hivyo tena na Marekani na Israel ukawa salama. Labda hii vita hatuambiwi ukweli. IRANI atakuwa Superpower ila hatuambiwi cause hii ni mara ya pili anapingwa mande ila jamaa anamikakati yakuumiza wanaowavamia hata kama walikuwa na vikwazo miaka yote hiyo.
 
Hii vita isiangaliwe kidini, utagundua Irani anapambana tena na mataifa makubwa na yenye uzoefu kivita ila hadi sasa hawajafanikiwa kuangusha utawala wa Irani. Jamaa wako vizuri sana ingawa watu wanataka kuwabeza, wangekuwa wengine washamalizana sahizi. Irani hata kma ni kobazi tuseme tu ukweli jamaa wako vizuri kivita na bila vikwazo wangekuwa superpower!!
 
Duuuuh! Sasa hivi wanaheshimu raia ubabe wote kwisha.
 
Alienza Tangris kamanda wa IRGC Navy...
Tunaihakikishia meli yoyote yenye bendera yoyote usalama kama itafanikiwa kuishawishi Navy ya Marekani kuisindikiza kupita Hormoz.

Inasemekana mameli yote ya kivita ya US yamekimbia km 700 kutoka ghuba ya uajemi kwa hofu ya kuzamishwa. Kumbuka Iran wana speed boti zile ndogondogo karibu buku na hivi karibuni zimeonyeshwq zi zimefichwa kwenye tunnels. Pia sasa wanarusha makombora mengine kutoka chiji ya bahari.

Kwa Lugha nyingine anamaanisha US Navy isogeze kijimeli chake ili kisakafiwe.

Vita bado mbichi.
 
Tukubali ukweli tu hii vita marekani kachemsha yaani kapigwa sana aise leo siku ya tatu mashambulizi ya marekani ndani ya iran yamepungua sana inasemekana rada za kuongoza ndege nyingi zimepigwa mifumo ya ulinzi imechakazwa mbaya mpaka marekani kaenda kubeba mifumo ya ulinzi ya korea kusini


Huku iran ikisema hii vita wao ndio wa kuimaliza.

Nimebaki najiuliza tu hivi marekani anaweza simama na mchina hata siku tatu kweli
 
Yeah! Ni propaganda ndizo zimétawala, hususani USA & Israel.

Just imagine: Israel mpaka sasa tunaambiwa ni raia 12 tu ndiyo waliofariki; wakati USA mpaka sasa tunaambiwa ni wanajeshi 6 Tu ndiyo waliofariki.
Hii vita ishakua vita ya propaganda ukiongeza na technologia ya ai yaani kila mtu anatunga habari zake sebleni
 

Attachments

  • Screenshot_2026-03-11-19-38-07-35_1.jpg
    92.2 KB · Views: 16
Aliyeanzisha vita ni Marekani lakini unailaumu Iran!

Marekani tayari ana historia ya kuanzisha vita visivyo na sababu na kwa wakati huo huo Iran haijawahi kuanzisha vita.

Hapo tu tayari tunaona tatizo liko wapi!
Wewe upeo wako ni mdogo kuona chanzo Cha tatizo

Jitulize kwanza
Inakuwaje Iran ya Ayatollah agombane na majirani zake wote Tena wa Imani Moja ?
 
Taarifa ya inasemekana
Huo ni umbeya TU wa wamama wa kiswahili
 
Sasa kwani Iran kwa sasa anafanya offense gani? Zaidi ya Survival tactics tu? Utawala wa Iran sasa wanapigana vita vya survival.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…