Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Walivyo piga oil refinery ya Iran, wametrigger mashambulizi mapya ,Iran baada ya hapo kashambulia viwanja vya ndege, vituo vya kuzalisha nishati, oil refinery na bandari. Sasa Iran kawaambia big tech companies za US,zilizokuwa kwa Myahudi, Middle East zijiandae.
 
Ohooo
 
Sasa kwani Iran kwa sasa anafanya offense gani? Zaidi ya Survival tactics tu? Utawala wa Iran sasa wanapigana vita vya survival.
Umetumia kigezo gani kusema hivi?

Kwanza kabsa Hoja kwamba Iran inapigana vita vya survival siyo sahihi kabisa.

Japo Iran inalinda utawala wake, (Regime Survival) lakini pia inaendelea kufanya mashambulizi ya kijeshi.

Mkakati wake unategemea sana Asymmetric Warfare, ambapo anatumia drones, makombora, na mbinu za presha ya kiuchumi badala ya vita ya moja kwa moja.

Hii tayari ni offensive, si kujilinda tu.. na anapiga target kwa adui.

Kwa mfano, vitisho au operesheni zinazohusisha eneo la Strait of Hormuz zinavyo-athiri usafiri wa mafuta na biashara ya kimataifa.

Lengo ni kufanya vita iwe ghali kwa adui na kuzuia ushindi wa haraka.

Hivyo, Iran haiko kwenye survival inafanya offensive asymmetric warfare..

War attrition (kumfanya adui achoke na tayari tushaona kadri siku zinavyo enda mashambulizi yanapungua) na badala yake USA & Israel wanacho fanya civilian targeting siyo tena military base za Iran
 
🤣🤣
 
Nacho kukubalia Huwa huna ushabiki maandazi kwenye nyeupe unasema hii ni nyeupe ,
 
Watu wenye Akili kama wewe na nondo kama hizi mnapingwa humu so sad
Umechambua vyema sana kongole
 
Hii tanesco ya huku inayo ogopa mvua na upepeo hivi iyakishuka mabomu si tutakaa gizani miaka na miaka? Hapo naona jengo limepigwa na umeme unaendeleza ku flow
🤣🤣
 
Jana Iran kashambulia miji mitano,hizi picha za haya maeneo ka.a sio leo basi kesho tutaanza kuziona

View: https://m.youtube.com/watch?v=e9SAx-LH12w

View: https://m.youtube.com/watch?v=7wWM4L5KjyINaona baada ya hii vita member wa NATO,wataanza kutumia akili zao vizuri na kuondoa uoga wa kumuogopa US, bunge la Italy nalo linakataa kujiunga kwenye hii vita,Spain wamemchana Trump ,bunge la Belgium nalo hivyo hivyo,Waziri mkuu wa UK baada ya kutoa kambi zake zitumike na US,wabunge wameanza kumkaanga. NATO wamechoka kuendeshwa, maana sasa hivi hali zao za kiuchumi hazipo vizuri.

View: https://m.youtube.com/watch?v=P9yaMZp-wvI&pp=ugUEEgJlbtIHCQnFCgGHKiGM7w%3D%3D
 
Kwanza Nchi kama England France Italy ndio zitakuwa zinamuogopa Iran kama kifo maana kama USA kapewa mkong'oto hivyo wao nani !?

Iran wameleta taswira mpya kabisa ya ubabe wao duniani na Jamii ya mataifa yote ya middle east wakiisikia Iran watakuwa wanatetemeka

Baada ya hii vita I bet Iran ndio watakuwa wamevurugwa mara tatu yake bomu la nyuklia lazima liundwe Ili kuzidisha threat Kwa vimbele mbele

All in all USA na Israel wameumbuka vibaya sana what an embarrassing!? 🙌🙌🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…