Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 5,046
- 4,447
Kwahiyo unataka ni seme wanaumoja wakati hawana.Usa hawana umoja Tena !?
Now mmeanza kuja na visingizio !? 🤣🤣
Iran wame improve acha ujinga unapaswa kuwapa credit Kwa kile walicho nacho na wanacho kionyesha in Butterfield Dunia nzima haikutaraji kuona hiki kinacho tokea now
Nchi ambayo imekaa katika vikwazo all most 40yrs now inatoa mkong'oto vibaya sana Kwa USA na Israel, wonder will never ends
Mnapaswa kukubali kwamba huyo USA Kwa Dunia ya Sasa Hana jipya
Hii itakua "HEY HI" coz hawa hawaogop kifo na wanataka kufa shahed.
Mkuu ni North Korea na sio south Korea. Najua hii ni typing error.😄🤣🤣 Yeah Huwa wanaminya data utasikia S.korea wana maisha magumu sana , oohh Russia ni maskini mnoo mara ohh Iran wanaanguko kubwa la kiuchumi
Jamaa Huwa wana tudanganya sana na data zao za kupika
Kwa mfano ukiitazama S.korea Ina miji mizuri Iko well organized Nchi imependeza kinyama watu wanaunda Kila kitu wao wenyewe magari Simu etc halafu huku tuna ongopewa kuwa S.korea ni maskini watu maskini wanawezaje kuwa na high advance technology ya kiwango hicho kama S.korea na Iran !?
Hawa jamaa sijui Huwa wanatuona wote wehu
You know the ball 💯Kwahiyo unataka ni seme wanaumoja wakati hawana.
Suala la Iran kila mtu anatambua kwamba wamejitahidi kwa teck ya makombola.
Kilichonisitaabisha mm nikuona umoja wao. Viongozi wote wako wamoja.
Carasco Putin ndio alivyo hata kwenye ile vita ya siku 12 alikua na kauli yake ya Pwagu na pwaguzi saivi anatembea na kauli ya wahuni wamechafukwa na huwa haeleweki yupo upande upi naona furaha yake yeye ni kuona kila upande ukipeleka moto hiki ndio anachojali.Wewe mbona siku elewi upo upande Gani !? Kila upande una shangilia !?
Naam let me correct firstMkuu ni North Korea na sio south Korea. Najua hii ni typing error.
🤣🤣 Kwamba yeye anachohitaji ni violence tu !?Carasco Putin ndio alivyo hata kwenye ile vita ya siku 12 alikua na kauli yake ya Pwagu na pwaguzi saivi anatembea na kauli ya wahuni wamechafukwa na huwa haeleweki yupo upande upi naona furaha yake yeye ni kuona kila upande ukipeleka moto hiki ndio anachojali.
Halafu watu hawajui kuwa USA tyr kashaishiwa plan zote sema anajibaraguza tu kuendelee kupambana.Kwanza Nchi kama England France Italy ndio zitakuwa zinamuogopa Iran kama kifo maana kama USA kapewa mkong'oto hivyo wao nani !?
Iran wameleta taswira mpya kabisa ya ubabe wao duniani na Jamii ya mataifa yote ya middle east wakiisikia Iran watakuwa wanatetemeka
Baada ya hii vita I bet Iran ndio watakuwa wamevurugwa mara tatu yake bomu la nyuklia lazima liundwe Ili kuzidisha threat Kwa vimbele mbele
All in all USA na Israel wameumbuka vibaya sana what an embarrassing!? 🙌🙌🤣