Il Padrino
JF-Expert Member
- Nov 13, 2016
- 675
- 1,604
mbona Irani yeye huingia kwa pamoja akiwa hamas'. wahouth na hezeblah au haujui hiloHow come Israel huwa hapigani peke yake dhidi ya Iran?
Nauliza tu 🤣.
Nawashangaa.mbona Irani yeye huingia kwa pamoja akiwa hamas'. wahouth na hezeblah au haujui hilo
Wana i underestimate Israel na ndio maana Iran inapigwa.mbona Irani yeye huingia kwa pamoja akiwa hamas'. wahouth na hezeblah au haujui hilo
Waoneeni huruma IranMuda si mrefu taulo linatupwa ulingoni
Nyani katema bungoo, maji aliyoingia mtu mzima Yana kina kirefuu
Hili ni jukwaa huruMkuu mie sio Pro Iran ila upashaji wako wa taarifa una shida kidogo au hufikii taarifa za ndani kabisa za Israel kama unavyozipata za Iran (Means kuna censorship ya taarifa upande wa Israel) . Kwa Iran una ainisha milipuko, eneo lengwa na ukubwa wa uharibifu. Ila kwa upande wa Israel unasikia ving'ora tu bila picha wa kutuambia kama iran ameshambulia au la. At least kuwa muwazi kama umeamua kutuhabarisha kuhusu hii vita.
Kwa kweliHuyo ni myahudi wa kiloka morogoro!
🤣 Keshakunywa vibaba vya kutosha aibu kubwa sana Alidhani ni maji ya ugoko kumbe ni maji ya shingoMuda si mrefu taulo linatupwa ulingoni
Nyani katema bungoo, maji aliyoingia mtu mzima Yana kina kirefuu
🤣🤣🤣Unafiki Na hauwezi kuisha Dunia hii kwa hawa waanzilishi wa Matatizo Dunian
View: https://x.com/i/status/2032425890697630041
😄😄 Umesha wachoka na propaganda zao !!! 🙌Hawa nao kila siku wanasema hivyo hivyo…..
🤣🤣🤣 Watu wapo busy wana isupport serikali Yao halafu huku Kuna Waisrael wa Maji matitu na mtoni mtongani wanasema kwamba raia wa Iran wanaichukua serikali yao
Yeah ni mchongo uleAta zile fujo ni wao ndio wameshiliki na kuwauwa Waandamanaji ili kuchochea hasira za Uma. Majasusi ndio wameuwa watu wengi..
Tangu dunia kuumbwa vita hii ndio ya kwanza Hizbollah na Houthi kuhusishwa kwasababu aliyeuawa ni kiongozi wa dini.mbona Irani yeye huingia kwa pamoja akiwa hamas'. wahouth na hezeblah au haujui hilo
Ndio maana Iran ianguke ikitoka Cuba Zinafata TanzaniaRais wa Cuba, Miguel Díaz-Canel, ametoa tangazo la kushtua kupitia televisheni ya taifa akibainisha kuwa serikali yake imekubali kuanza mazungumzo na Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump, hatua hii inatajwa kuwa ni matokeo ya shinikizo kubwa ambalo nchi hiyo imekuwa ikikabiliana nalo, jambo lililopelekea Cuba kubadili mwelekeo wake wa kidiplomasia ili kunusuru hali ya mambo nchini humo.
Mabadiliko haya makubwa katika sera za kigeni za Cuba yanaashiria kuanza kwa sura mpya ya mahusiano kati ya mataifa hayo mawili ambayo yamekuwa na mivutano ya muda mrefu, ingawa maelezo ya kina kuhusu makubaliano hayo bado hayajawekwa wazi, mazungumzo haya yanatarajiwa kuangazia masuala mtambuka ya kiuchumi na kisiasa, huku jumuiya ya kimataifa ikifuatilia kwa karibu kuona jinsi utawala wa Trump utakavyopokea hatua hiyo ya Havana.
Ikumbukwe siku za nyuma Trump alisema baada ya Iran Kituo kinachofuata ni Cuba anaweza kuichukua kirafiki au Kimabavu, Sasa miguel ameona atupe taulo tu bado anautaka urais wa Cuba😁
#mchululu_updates
Wacha kuwa delusional.Nawashangaa.
Kwenye vita/mgogoro ukisimama pekee yako you are doomed to fail.
Na hutakiwi kuwa Neutral, sasa hivi waarabu wanapigwa na Iran alafu hawajibu kitu.
Baada ya vita Israel ndio atakuwa anawapa amri, wakizingua anawakumbusha kilichoipata Iran