Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

kwamba wahouth wapalestina na hizbulah wameanza kurusha rockert baada ya ayatolah kuuwawa kumbuka humu wengi niwafuatiliaji wa habari. unasema ya kuwa hao youth na hizbolah nisiwalinganishe na nchi kama USA uko sawa lakini majeshi waliyonayo na silaha ambazo wamewezeshwa na mfadhili wao kwa Afrika huo kuna nchi labda tatu ndio zinaweza kumatch nazo lakini mwisho hakuna vita isiyo na mshirika iwe anajitolea ama analipwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…