hukumbuki kama waliwahi ungana wakala kichapoHii Israel inayosaidiwa na USA!??
Kama Israel inajiweza kwanini ilimshinikiza USA aingie vitani!??
Unaweza ukatujibu hilo swali??
Kwa hapa Afrika hiyo Israel nampa Algeria tu achilia mbali Morocco au Egypt. Algeria tu Israel HATOBOI.
Labda amuite mumewe USA kama kawaida yake.

Video ninazo mkuu, tatizo mtandao upo chini hivyo kuupload hapa nashindwa kila mudaImpact ipoje mkuu?tuma tena clip!
mbona umeniwahi na hili jibuHuna dini? Wewe ambae hata mtu akiikosoa serikali unasema ana chuki na uislam?
RRONDO B-2 bombers zinatumika usiku huu ndio maana nasema milipuko mikubwa sanaπ₯π₯π₯π₯
CENTICOM: B-2 bombers zinatumika kwenye operation usiku huu
mbona umeniwahi na hili jibuHuna dini? Wewe ambae hata mtu akiikosoa serikali unasema ana chuki na uislam?
Hili ni lile shambulizi lililofanyika Qomπ₯π₯π₯π₯
Trump: tumeua viongozi wao mara mbili, Mara ya pili tuliyowaua ilikia wamekutana kuchagua kiongozi wao mkuu
wao kila kitu ni tetesi wanafikiri USA ni nchi ya tetesi kama nchi ile ambayo nasikia iko tayari kuchimbwa na kuachwa mashimo ili jirani akajengeAcha story za vijiweni, Trump alimwambia nani hayo?. Kimsingi Iran inapigika sio kawaida.
π₯π₯π₯π₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la sarakhsahr Tehran
π₯π₯π₯π₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora kambi ya jeshi chamran karaj
π₯π₯π₯π₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la nabonyad. Mlipuko mkubwa
π₯π₯π₯π₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora kituo cha utafiti wa anga eneo la khovardin magharibi mwa Tehran
π₯π₯π₯π₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la sattarkhan magharibi mwa Tehran
π₯π₯π₯π₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la katikati mwa Tehran. Milipuko mikubwa sana
Jπ₯π₯π₯π₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la kaskazini mashariki mwa Tehran
Jamaa ni sugu.π₯π₯π₯π₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kusini magharibi mwa Tehran
Trump alisema usiku huu atafanya mashambulizi makubwa alisema "..usiku huu nitafanya mashambulizi makubwa kwa hawa retarded scumbags.."J
Jamaa ni sugu.