christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 3,333
- 5,490
Mkuu hujui kwa nini Iran anashambuliwa had leo? Aisee mkwara wote Ayatolah aliokuwa anamchimba Marekan na Israel ulikuwa huusiki?Na Israel na Marekani wanamshambulia Iran kwa sababu gani na kwa ushahidi upi?
sijajuaNdio hizo drone interceptors 10000?
Kwa hiyo kusema tu maneno ndo sababu ya kwenda kuua watu na kuiharibu nchi?Mkuu hujui kwa nini Iran anashambuliwa had leo? Aisee mkwara wote Ayatolah aliyokuwa anamchimba Marekan na Israel ulikuwa huusikiu?
Kuna 10,000 drone interceptors zishapelekwa huko middle east.sijajua
Na kwa hili kafanikiwa jamaa kachapika mno hata wale wachambuzi waliokuwa wanampa sifa kuwa ni supper power sasa hivi wametokomea maana walidanganya watoto wa 2000 sasa hivi hawana cha kuwadanganya maana ukweli umejulikana nani mbabe.Kwa mujibu wa Trump
Kumzuia asiwe na nuclear
Kuharibu uwezo wake wa kutengeneza missiles
Kifupi asiwe tishio kwa US na Israel.
Ushahidi sijui wana ushahidi gani.
Kwani vita imeisha mkuu?Na kwa hili kafanikiwa jamaa kachapika mno hata wale wachambuzi waliokuwa wanampa sifa kuwa ni supper power sasa hivi wametokea maana walidanganya watoto wa 2000 sasa hivi hawana cha kuwadanganya maana ukweli umejulikana nani mbabe.
Nilisema siku watu wanazipuuzia Israel na MarekaniHadi muda huu ni zaidi ya majengo 35,600 yameonja joto la USA na zaidi ya raia million 3.4 hawana makazi l
Pro Iran endeleeni kuandika ma paragraph ya kujifariji😀
Mkuu mtu ambaye anajenga nuclear capability na anasema lengo ni kuifuta Israel kwenye uso wa dunia unasubiri ushahidi kwamba mpaka alipue ndio uchukue hatua?Kwa hiyo kusema tu maneno ndo sababu ya kwenda kuua watu na kuiharibu nchi?
Yale yale ya Iraq kwamba kuna silaha za maangalizi makubwa kumbe ni uongo tu.
Hiyo sababu uliyoitoa ni utoto.
Huanzishi vita kisa maneno tu ya mtu ambaye hawezi kukufanya chochote.
Mkuu mtu ambaye anajenga nuclear capability na anasema lengo ni kuifuta Israel kwenye uso wa dunia unasubiri ushahidi kwamba mpaka alipue ndio uchukue hatua?
Nilisoma hio post niliona ulivyoshambuliwa. Eti kuna mtu akasema Algeria anamtosha Israel! Kuna vituko humu.Nilisema siku watu wanazipuuzia Israel na Marekani
Kwa target walizopiga Iran wanaweza kuteka nchi zaidi ya 20 Africa kwa mwezi
Ni kweli. Ila sidhani katika ugomvi wake wote ashatishia kumfuta mtu kwa nyuklia. Sijui.Israel imekuwa na silaha za Nyukilia toka kitambo sana na imekuwa ndiyo chanzo cha migogoro middle east
Unasoma ninachoandika kweli?Okay unacho cha kuonesha kwamba New York Times ni waongo? Hapa issue ni references, wewe unaweza sema based on your differennt sources/references, unataja chombo then unaonesha uongo wao na sio maneno matupu.
Ni kweli. Ila sidhani katika ugomvi wake wote ashatishia kumfuta mtu kwa nyuklia. Sijui.
Bado mkuu ila data zinaonesha wamechapika mno na kama Marekan wataendelea kutumia B-2 bombers had kufikia tareh 28 mwezi huu nahis Netanyahu anaweza akawa anapiga misele kwenye viunga vya Tehran maana jamaa watakuwa wameisha na waliopo watakuwa wanajificha pangoni maana Amerika wameshaweka dau watu watoe location sasa kwa maisha ya wa Iran yalivyo magumu wanaweza kweli achia hilo donge nono la Amerca? Hata ingekuwa ni wewe mkuu unaweza achia donge nono wakati wa njaa kali?Kwani vita imeisha mkuu?
Iran yupo na nuclear kitambo tu. Ngoja waanze kutumia nuclear kina Trump majibu utashangaaa!!Ni kweli. Ila sidhani katika ugomvi wake wote ashatishia kumfuta mtu kwa nyuklia. Sijui.
Israel ametishia kumfuta nani kwenye uso wa dunia?Israel imekuwa na silaha za Nyukilia toka kitambo sana na imekuwa ndiyo chanzo cha migogoro middle east
Hizo video za YouTube shorts ndizo chanzo cha propaganda nyingi. Unachukua clip fupi ya mtu mmoja halafu unageuza kana kwamba ndiyo sera rasmi ya taifa. Israel ina serikali, jeshi na sera za nje rasmi; si kila mtu aliyewahi kuwa msemaji au mwanasiasa anaongea sera ya nchi.Wewe unasikilizaga interview za viongozi na maafisa wa Kiyahudi,Aliyekuwa msemaji wa jeshi la Kiyahudi Lipkin anadai nusu Syria ni yao,Lebanon yote yao,Jordan yao Saudi Arabia nusu ikiwemo Makka na Madina yao, kuna portion ya Misri wanadai yao na kuna Portion Turkey wanadai ya kwao. Hao Saudi,Turkey Misri hata Qatar ni swala la muda wataundiwa zengwe kama la Palestine.Myahudi mbabe anachukua maeneo ya watu kibabe.
View: https://m.youtube.com/shorts/WERJ_xXhaeQHaya msikilize aliye kuwa waziri mkuu wa Israel anadai Qatar na Turkey wanahatarisha usalama wao, utapata picha kwamba siku yoyote Myahudi ataingia vitani na Qatar pamoja na Mturuki.
View: https://m.youtube.com/shorts/kaOWgujCHtAKwa kifupi Myahudi mkorofi hata hii vita huoni sababu ya msingi, so tujiandae na vita ya Myahudi zidi ya Qatar, Turkey, Misri, Saudi Arabia.
Mwezi wa sita Trump huyo huyo alisema nuclear facilities za Iran zimeangamizwa.Kwa mujibu wa Trump
Kumzuia asiwe na nuclear
Kuharibu uwezo wake wa kutengeneza missiles
Kifupi asiwe tishio kwa US na Israel.
Ushahidi sijui wana ushahidi gani.
Technical Egpty alimpiga Muisrael 1973 yom Kippur war, so Is Jordan hio vita Yao fupi ya Vifaru.Nilisoma hio post niliona ulivyoshambuliwa. Eti kuna mtu akasema Algeria anamtosha Israel! Kuna vituko humu.