Trump kaziadi nchi kimyakimya kufuta tozo wakiungana kwenye Vitaππππππ
Kashaomba msaada nchi kibao !!! lkn Dogo IRANIAN hatujasikia hakiomba msaada popote.!!
Wajinga watadai Hezbollah yupo na Iran !!
kimsingi Hezbollah kwanza hapambani na Marekani !!!
ni Israel tu Sababu ipo wazi Israel imemega Ardhi yao!!
Kama ulikuwa ujui Iran anatoa msaada Lebanon kuwasaidia kukombolewa kwa Ardhi za Lebanon.
Propaganda kuusu Iran zimekuwa nyingi lkn jua msingi ndio uwo wa kuwepo Hezbollah!!
Km Israel isingevamia Ardhi ya Lebanon pengine kusingekuwa na Hezbollah %100 β
οΈ
kwaiyo wanapigana kukombolewa Ardhi yao kutoka kwa Mvamizi wavamizi Israel !!
ndiomana Wananchi wa Lebanon wapo pamoja na Hezbollah
hatujawai kuona kusikia Maandamano ya Wananchi kuwapinga Hezbollah!!
zaidi ni Serikali ya Kibalaka ndio itawapinga. Hezbollah
Israel ingetema Ardhi ya Lebanon pengine Hezbollah wangepoaa !!
lkn Israel inajipandisha Mabega juu. kung,ang,ania Ardhi ya Lebanon wacha kiwakeπ₯π₯π₯π₯π₯