😁😁😁 Watu wanarusha missile wakiwa ghetto tu hawana muda sijui wakutumia ndege Wala Aircraft Na watu wanakaa Israel inageuka unknown place noma sanaTena apo ndio Marekani wanapigana Bega kwa bega na Israel yenyewe km yenyewe haàaaaaaaa!!!!
1) Wkt Dunia haijui Netanyahu yupo wapi wkt
2) Wkt miji ya nchi 11 imeteteleka vibaya!!
Ikiongozwa na miji ya Israel Haifa Tela Aviv
3) Wasomaji wa Jamii forum tukumbuke. Bado Islamic Republic of Iran Wanapigana wakiwa ndani ya mipaka yao !!
Ndiomana wajuzi waanaamini Iranian ndio Yahudi Og !!!
Awa wengine sio Wayahudi ni Mashoga kutoka Ulaya wameidandia Bible kwa mbele na kujivika Ukweli usio wao wamebebwa na MEDIA na pesa basi.
Kimsingi Kiakili hakuna kitu weupe kama Weupe!!!
Kivita ni Iranian ndio mwenyekushangaza Dunia ya Technology Vita sio Israel
Hatujawai kuona Makombora ya mfano wa Iran kwenye Dunia
yani mwendo wa Draft tu kufikia sasa. Dunia ikitetemeka Zaidi ya km2000+ miji inawashwa MOTO. Na Watoto wa Iran wakiwa kwenye mipakayao.
😄😄😄Maisha bila Vita yanawezakana tatizo kuu ni Marekani wanyang.anyi sana !!!
kama ndio Demokrasia ile Venezuela basi Demokrasia mm nitaipinga kabisa
Wizi wa rasilimali za Mataifa masikini sasa upo waziwazi tuseme hapana!!!
kutwangwa Marekani Israel na mipangoyao ya Uchumi ni Ukombozi wa Dunia yote.
So watoto wa Iranian wanaenda kuikomboa Dunia kutoka kwenye Mikono ya Jambazi Kuu sugu.
🤸🤸🤸😄😄😄😄😄 Wameshtukiwa Dunia imebadilika sana now days watu sio wajinga TenaUpumbavu uuanzishe mwenyewe kujiona Super power uwaingize wenzie kwenye Moto
Pambana mwenyewe mwana kuli find
View: https://x.com/i/status/2033053219648135479
😄ShameNuklia tena wao siwanashinda
Hahaha
Ukiona kauli hizi ujue wana hali mbaya
View: https://x.com/i/status/2032972505527296285
Sikutegemea US na Israel wangekuwa wepesi namna hii.
Trump anawaomba UK wamsaidie kupitisha mafuta Strait of Hormuz.
Chanzo cha habari BBC Jioni hii.
nyie pro Iran mna shida gani😀, Jana tu wairan zaidi million 3.5 walikua hawana makazi, huku majengo zaidi ya 35,600 hayataminikiTena apo ndio Marekani wanapigana Bega kwa bega na Israel yenyewe km yenyewe haàaaaaaaa!!!!
1) Wkt Dunia haijui Netanyahu yupo wapi wkt
2) Wkt miji ya nchi 11 imeteteleka vibaya!!
Ikiongozwa na miji ya Israel Haifa Tela Aviv
3) Wasomaji wa Jamii forum tukumbuke. Bado Islamic Republic of Iran Wanapigana wakiwa ndani ya mipaka yao !!
Ndiomana wajuzi waanaamini Iranian ndio Yahudi Og !!!
Awa wengine sio Wayahudi ni Mashoga kutoka Ulaya wameidandia Bible kwa mbele na kujivika Ukweli usio wao wamebebwa na MEDIA na pesa basi.
Kimsingi Kiakili hakuna kitu weupe kama Weupe!!!
Kivita ni Iranian ndio mwenyekushangaza Dunia ya Technology Vita sio Israel
Hatujawai kuona Makombora ya mfano wa Iran kwenye Dunia
yani mwendo wa Draft tu kufikia sasa. Dunia ikitetemeka Zaidi ya km2000+ miji inawashwa MOTO. Na Watoto wa Iran wakiwa kwenye mipakayao.
Jana tunyie pro Iran mna shida gani😀, Jana tu wairan zaidi million 3.5 walikua hawana makazi, huku majengo zaidi ya 35,600 hayataminiki
Pro Iran mmejazwa propaganda za kitoto, kwasasa hata media kama Al Jazeera hamuangalii kabisa😀
Al Jazeera wanarudha taarifa zote muhimu za pande zote bila kuweka chumvi, Iran kwa sasa hasa Tehran hali ni ngumu sana
Pro Iran nyie endeleeni kujifariji na hizo video za nyumba moja moja huko hawaki Tehran mitaa inafutwa kabisa😀