Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Wewe jamaa unashida gani kichwani 😀.. nimekwambia Israel ilikua inaisaidia Irani siraha na intelligensia ulitakuwa ukubali kwanza ndio..

kama Iran alikua anajiweza kwa nini alikubali msaada wa Israel huo mwaka wa Tano😀

Rudi kasome historia vizuri kijana hasa Iran-cotra affair... Hio vita USA alikua anapiga miguu yote acha ubishi kijana

Tukirudi kwenye vita ya Vietnam, USA haikutoa majeshi yake kwa kupigwa na hao migambo ila ilijitoa kwa pressure ya kisiasa sio kijeshi

Rudi darasani ukasome jinsi USA ilivyokua inawafanya hao migambo 😀..

Hio vita ilikua chini ya ARPA kwasasa inaitwa DARPA.. hawa wahuni waliigeuza Vietnam kua sehemu ya majaribio ya siraha za kivita

Kijana wangu nenda kasome hizi projects zote zilikua chini ya ARPA
Project agile, igloo white, operation Popeye nk

BIla siasa, Vietnam ilikua inaenda kua jangwa😀😀 kasome vizuri project agile utaelewa nini namaanisha
 
Kamtafute Secunder hata FB yupo.
Ukimkosa ndio uniambie.

Wacha UFALA wewe,kama Israel ina intercept kila kombora kwanini Imezuia taarifa zisitoke??
Kwanini wakazi wa Galilaya wamekimbia Galilaya!?
Hivi ninyi mnatuchukulia sisi WAPUUZI WENZENU!??
Wehu hao 😁😁

Jamaa wanashindana na Aljazeera BBC CNN and co
 
Mossad walikamatwa Riyadh wakipanga false flag attack.
Unataka kusema Iran wanatunga stori!??
Au wale Mossad waliokamatwa Riyadh wametengenezwa na IRAN!?
 
Wenyewe wanasema lakuvunda halina ubani.
Ngoja tuone mkuu watasema tu.
 
Wewe jamaa ni mpumbafu.. kwamba umeshindwa hata kuwasikiliza watanzania walikua wamekwama huko Iran juz wametua bongo media nyingi zimewahoji kasikilize wanasema nini😀

haujajibu swali langu, huyo sijui secuda anatoa wapi taarifa, anatumia njia gani kupata hizo taarifa ambazo serikali ya Israel imezizima?

Huyo secuda ana kikundi ambacho kipo ndani ya Israel kazi yake ni kukusanya taarifa za maafa ya Israel tu au ni watu wa kawaida wanatumia yeye tu😀

Ich finde,,, deine Argumente wirken etwas kindisch du kannst aber gerne weiter deine Sichtweise vertreten😀
 
Kutokana na utandawazi plus AI vita zimejaa propaganda nyingi na source kibao za account za watu wanaosaka followers, cha muhimu tu ni kupata taarifa kutoka source za kueleweka na kusubiri siku ya mwisho ya maamuzi kipi kitajiri... Hata vita ya Urusi na Ukraine ilikuwa hivi ila hadi sasa wote wapo choka mbaya... Ukitaka taarifa zaidi nenda uwanja wa vita ukashikwe mbupu na drone😎
 
 

Attachments

  • Cnn.jpg
    134.7 KB · Views: 11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…