Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Washirika hao WAJINGA usije waamini, TENA USIRUDIE AMINI mshirika ukilianzisha uwe na UWEZO, JUZI HAPA wamarekani WALIKUA na ziara china, Kuna mshirika HAPO?
 
Mahusiano ya Umma ya Walinzi wa Mapinduzi ya Iran:
Rada ya Marekani ya FP132, yenye umbali wa kilomita 5,000, iliyoko Qatar na ikiwa na vifaa vya kipekee vinavyotumika kufuatilia makombora ya balestiki, imeharibiwa kabisa.
Irani akifanikiwa kuyalenga madude yao waliyo yapaki karibu na pwani yake atakuwa amepiga kwenye mshono.
 
Ndege ya Netanyahu imeonekana inapuyanga puyanga maeneo fulani hivi ndani ya Israel, nadhani anataka kukimbia!!!
Mbwa kabisa!
 
😁😁😁Anawatupia mabomu aliye waambia wamuhifadhi adui yake ni nani !?

Ukimuhifadhi adui yangu it means nawewe ni adui kwangu lazima uchezee mkong'oto tu
 
Irani akifanikiwa kuyalenga madude yao waliyo yapaki karibu na pwani yake atakuwa amepiga kwenye mshono.

Iran anatakiwa ajitoe kimasomaso bila huruma.
Aichome Israel
Azamishe Yale madude Baharini
Atoe kichapo heavy Kwa majirani zake wanafiki.

Kisha asubiri USA mwenyewe hapo mazoea yataisha.
Tatizo Wairan wanamawazo kama haya ila wanasita.
Ahadi zao za kutoa somo wanaahidi lakini wanasita sita.

Marekani anatabia za kihuni, anakutafutia angle, ukionyesha kumzidi kete anasitisha vita. Hivyohivyo mpaka Iran atajikuta amemwagwa
 
Iran haangushwi mack this comment,

Mkong'oto watakao pewa Israel USA wenyewe lazima wataita ceasefire
 
Iran si mchezo, inatuma salamu kambi zote kwa wakti mmoja.
Wakimaliza hapo inaanzwa Tel Aviv, na hii vita ili kusudi waombe cease-fire, Iran iitandike Israel mpaka wananchi watoke mashimoni kama zombies...
Ndio nachowaza pia Israel kalivyo kuwa kanchi kadogo wakipelekewa moto siku 4 tu lazima wataomba Pooh tupo hapa
 
Ww kumbe pia akili zako ni ndogo! Huyu Iran mpaka hapa kwisha Habari yake!
 
Iran si mchezo, inatuma salamu kambi zote kwa wakti mmoja.
Wakimaliza hapo inaanzwa Tel Aviv, na hii vita ili kusudi waombe cease-fire, Iran iitandike Israel mpaka wananchi watoke mashimoni kama zombies...
Viongozi wa ghuba sidhani kama walitegemea iwapo Iran angejibu kwa ukali namna hiyo walitegemea itaweka mipaka kwenye kushbulia kama ilivyo kuwa inafanya huko nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…