City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Hezbollah sasa hivi Wana Hadi cluster missile sio tena vidrone na virocket vidogo, hao Israel wenyewe wanashangaa imefikaje hapo Lebanon, wanarusha makombora mazito kama Iran. MTU yoyote anaefuatilia hii vita hata kwa source za west utaona suprise kuhusu uwezo wa Hezbollah.Actualy hezbollah hawajafutwa lakin walipunguzwa makali sana kwenye last campaign against israel
Aliyekwambia cluster bombs ni aina mpya na ya ajabu ni nani hayo yametumika hata kwenye vita vya pili vya dunia na yalipigwa marufuku miaka kibao...Hezbollah sasa hivi Wana Hadi cluster missile sio tena vidrone na virocket vidogo, hao Israel wenyewe wanashangaa imefikaje hapo Lebanon, wanarusha makombora mazito kama Iran. MTU yoyote anaefuatilia hii vita hata kwa source za west utaona suprise kuhusu uwezo wa Hezbollah.
Hata kuzuia taarifa pia ni mafanikio we unachukulia kazi ya kuwazuia watu wasitoe taarifa na muda huo umewaachia internet na kila kitu ni kazi ndogo, Iran alikimbilia mbinu za kizamani kama za bongo eti anazimia internet taarifa zake zipo uchi hadi FBHii vita upande mmoja umejiwekea Sheria ya kuzuiya habari mbaya za upande wao !!!
ziwe za Vifo vya raia wao!!!
Au Viongozi wao.
Kwaiyo proo Iranian kwa Israel tutajua kuusu Majengo tu sio zaidi. !!!
Vifo mpaka Sasa wametwambia 14 tu lkn majengo tu zaidi ya mamia yameshusha !!!
kwaiyo ndiokusema Muisrael Kufa ni kugumu
kuliko kusambalatisha jengo la gorofa la ZEGE!!ππ
yani nyama za raia wao wa Kizayuni ni ngumu kuliko ZEGE + nondoπππππ
Sasa wasomaji wa Jamii forum ktk ili kama wewe ujaelewa chezo basi ipo ivi!!!!
hii Vita utosikia Vifo vya raia wa Israel wala Viongozi wao!!! Never Never
kama unasubiri kusikia ilo saaau πππ
bora kunyuti chini ya π³Mwarubaini unaweza Kuwa na bahati ukaokota DODO π₯π₯
Nioneshe kikundi gani kina cluster missile ambacho sio nchi, hizo missile za Iran ni kubwa to the point hata kufit kwenye Lori missile moja ni tabu.Aliyekwambia cluster bombs ni aina mpya na ya ajabu ni nani hayo yametumika hata kwenye vita vya pili vya dunia na yalipigwa marufuku miaka kibao...
Acha uzushi,anaerusha clusters bomb ni Iran si Hezbollah, na hizi ndio Iran alisema silaha zake mpya kaanza kuzitumia majuzi tuu hapa.Nioneshe kikundi gani kina cluster missile ambacho sio nchi, hizo missile za Iran ni kubwa to the point hata kufit kwenye Lori missile moja ni tabu.
Picha live ya missile za Iran
View attachment 3559078
Then Hezbollah wanayarusha sasa hivi hayo na watu hawajui yamefikaje fikaje Lebanon ama wametengeneza wenyewe.
Halafu wao wanaripoti majeruhi tu na ving'ora kila mpersia akimaliza kupiga.Hii vita upande mmoja umejiwekea Sheria ya kuzuiya habari mbaya za upande wao !!!
ziwe za Vifo vya raia wao!!!
Au Viongozi wao.
Kwaiyo proo Iranian kwa Israel tutajua kuusu Majengo tu sio zaidi. !!!
Vifo mpaka Sasa wametwambia 14 tu lkn majengo tu zaidi ya mamia yameshushwa !!!
kwaiyo ndiokusema Muisrael Kufa ni kugumu
kuliko kusambalatisha jengo la gorofa la ZEGE!!ππ
yani nyama za raia wao wa Kizayuni ni ngumu kuliko ZEGE + nondoπππππ
Sasa wasomaji wa Jamii forum ktk ili kama wewe ujaelewa chezo basi ipo ivi!!!!
hii Vita utosikia Vifo vya raia wa Israel wala Viongozi wao!!! Never Never
kama unasubiri kusikia ilo saaau πππ
bora kunyuti chini ya π³Mwarubaini unaweza Kuwa na bahati ukaokota DODO π₯π₯
Anatamani sana mkuu ila Hana huo uwezo tangu kale Israel huwalinda sana viongozi waoIla Iran Ana ufala fulani hivi.
Miaka na miaka viongozi wake na wanasayansi wake wanauwa, yeye hauwi viongozi wa adui yake.
Anashindwa nini kuuua kazi kubweka bweka tu
Sidhani kama wanahitaji SABABU kumtwanga na nuclear.Akipiga Dimona, atawapa sababu wamtwange nuclear
Hao ndo watakuwa viongozi wa mpitoYeye na waziri wa mambo ya nje hawapo kwenye list ya kuuliwa,hawataguswa.
Walikosea kutoka mafichoniπ₯π₯π₯π₯
Jeshi la Israel limefanya assassination operation kwenye eneo la kaskazini mashariki mwa tabriz, ambapo magari matatu yameshambuliwa.
View attachment 3559016
Huyu Rais ndio aliomba msamahaRais hatumgusi