Uvamizi wa ardhini utaifanya Marekani ilipe gharama kubwa labda kuomba jeshi liasi tu.Labda mpaka jeshi la ardhi la US na Israel liingie Iran na kulishinda jeshi la Iran.
Ayatollah alishawekwa mahala salama mapema kaba hata ya vita.
Hata viongozi wa jeshi la Iran , safari hii walikuwa wanafanya mikutano yao kwa kificho..
Iran haangushwi mack this comment,
Mkong'oto watakao pewa Israel USA wenyewe lazima wataita ceasefire
Ndio unavyo waza !? Do you think anafanya hivyo ili waforce mazungumzo au anazipiga base za USA kwakuwa USA kama Nchi IPO mbali so Ili kulipiza kisasi ni lazima a deal na mali za USA zilizopo karibu , halafu hii sio mara ya kwanza Iran kufanya hivyo hata mwaka Jana alipiga kambi ya kijeshi ya USA iliyopo Qatar pia mnamo mwaka 2021 if I'm not mistaken Iran waliipiga kambi ya USA iliyopo Iraq baada ya USA kumua general Qaseem wa IranMashambulizi ya sasa yamemuumiza Iran ndio maana ameanza kuwashambulia akina Qatar hili waforce mazungumzo
Ww kumbe pia akili zako ni ndogo! Huyu Iran mpaka hapa kwisha Habari yake!
IndeedHili lipo wazi.
Ukizingatia baadhi ya maafisa walitumwa Vatcan ndio kabisa unaona hakuna kitakachofanyika.
Serikali ni jeuri kwa wananchi lakini haijagombana na wakora wa dunia. Hivyo haioni kitisho
Sahau milele ndugu. Tena sahau kabisa.
Jana katuma SU - ndege vita za Mrusi kushambulia meli vita za US ..angalia nn kimetokea.
Yaani ukweli tuseme ukweli, mwisho wa utawala uliyonyonga mwananchi wao kwishnyey tena in weeks.
Labda hufuatilii habari.Ww kumbe pia akili zako ni ndogo! Huyu Iran mpaka hapa kwisha Habari yake!
KumbeDogo acha dharau nina 39 una niita gen z kweli🤣🤣
YeahKumbe
Unaongea HISIA badala ya UHALISIA.Sahau milele ndugu. Tena sahau kabisa.
Jana katuma SU - ndege vita za Mrusi kushambulia meli vita za US ..angalia nn kimetokea.
Yaani ukweli tuseme ukweli, mwisho wa utawala uliyonyonga mwananchi wao kwishnyey tena in weeks.
Easier said than done.Iran akitaka ashinde anatakiwa atoe kichapo heavy cha kihistoria kwa Israel na waarabu wanafiki.
Akifanya hivyo huu mchezo utakuwa haujirudii kwa miaka ya hivi karibuni
Mkuu hayo madude sio rahisi kuyazamisha yanahitaji mkakati.Iran anatakiwa ajitoe kimasomaso bila huruma.
Aichome Israel
Azamishe Yale madude Baharini
Atoe kichapo heavy Kwa majirani zake wanafiki.
Kisha asubiri USA mwenyewe hapo mazoea yataisha.
Tatizo Wairan wanamawazo kama haya ila wanasita.
Ahadi zao za kutoa somo wanaahidi lakini wanasita sita.
Marekani anatabia za kihuni, anakutafutia angle, ukionyesha kumzidi kete anasitisha vita. Hivyohivyo mpaka Iran atajikuta amemwagwa
Mpaka sasa kitendo tu cha hilo manowari na carrier strike group kushindwa kufanya jamming na EW ili missiles za Iran zisipige target kwenye kambi zao middle east, tayari imeonyesha hizo meli hakuna zinachofanya hapo.Irani akifanikiwa kuyalenga madude yao waliyo yapaki karibu na pwani yake atakuwa amepiga kwenye mshono.
Mkuu hayo madude sio rahisi kuyazamisha yanahitaji mkakati.
Alafu lengo la Iran kuzishambulia nchi za ghuba ni kuziweka kwenye presha ili ziishinikize marekani iache kuishambulia
Okay son.Keep growingYeah
Iran kashashinda hii vita.Mbona wamezipiga base au hazina maslahi yoyote na USA !?
Kama ulitegemea maishani mwako kwamba Iran imtwange US sahau ndugu.Unaongea HISIA badala ya UHALISIA.
Endelea kuongea matamanio yasiyo na uhalisia.