Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la Qom. Milipuko mikubwa sana
 
Viongozi. IRAN sio tatizo kabisa wanatawazwa wapyaa na tutawajua km tulivowajua awa waliokufa muhimu kwa IRAN ni kuendeleza Mapambano

kwaiyo Viongoz ni kama kukaa kwenye siti ya bus ukishuka mwengine atakaa Safari inaendelea!!!

Iran ili kushinda Vita dhidi ya Mashoga lazima kutupia zaidi Makombora kila siku wapeleke dozi na mpakasasa Dozi πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯inatolewa kila siku kwa malengo🀠🀠!!! Mshindi tutamjua tu
 
Iran inaenda kuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe!

Napinga sana udhalimu wa utawala wa Iran ila pia siafiki hiki wanachokifanya Israel na Marekani.

Israel na Marekani wanaua watu huko Iran. Wanaharibu miundombinu. Wanavuruga kabisa maisha ya watu. Wameua watoto wa shule.

Hayo matendo yatawasaidiaje Wairan?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Yaani demona ipigwe na kusiwe na mionzi hvi nyie pro Iran hua na shida gani
 
Kazi kipimo cha utu Iran twangaaa tu wana wa mashogaπŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
 

Attachments

  • Screenshot_20260309-171246_Instagram Lite.jpg
    95.5 KB · Views: 12
  • Screenshot_20260309-171214_Instagram Lite.jpg
    99.1 KB · Views: 11
  • HC7erbWW0AADo3y (1).jpeg
    112.4 KB · Views: 13
  • Screenshot_20260309-171052_Instagram Lite.jpg
    102.2 KB · Views: 11
  • 4cbv7fe6ebc3ae2p2la_800C450.jpg
    64.7 KB · Views: 12
  • eb4f7ebbfc8049e59c2a2ae56eba42a4.webp
    33.8 KB · Views: 9
  • downloadfile(5).jpg
    55.1 KB · Views: 10
  • downloadfile(4).jpg
    47.8 KB · Views: 10
  • 6275934-9d99b2a46930ceaa73ce31f4dc38b8e3.jpg
    18.9 KB · Views: 10
  • 6275945-c141f1158b2439d2652ac3f79c71f265.jpg
    23 KB · Views: 14
  • Screenshot_20260226-105324.jpg
    110.4 KB · Views: 9
  • Screenshot_20260309-171007_Instagram Lite.jpg
    87.3 KB · Views: 7
  • 20260310_034607.jpg
    33.6 KB · Views: 9
  • 1773515405242.png
    3.1 MB · Views: 13
  • 1773515242943.png
    4.5 MB · Views: 11
  • 1773516294206.png
    636.3 KB · Views: 12
  • 20260314_192114.jpg
    27.2 KB · Views: 11
  • 1773516168675.png
    4.1 MB · Views: 14
  • 1773516208901.png
    4.9 MB · Views: 12
  • 20260310_034228.jpg
    95.4 KB · Views: 11
  • 20260310_034230.jpg
    104.7 KB · Views: 8
  • 20260310_034605.jpg
    84.5 KB · Views: 9
  • 20260310_034613.jpg
    29.9 KB · Views: 8
  • 20260310_034610.jpg
    24.2 KB · Views: 12
Wairan wa kawaida hawafaidiki
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kusini mwa pars
Hili eneo ndio Kuna petrochemical plants
 
Zipo picha za makamanda wa IDF wameuwawa lkn zinagoma kujaaa😜😜😜😜😜 wapo kibao msako mkubwa Iran inafanya mitaa ya mashoga. Hiii ngoma tutaamia kwenye Nuclear muda sio mlefu.🀠🀠🀠

wakubwa ki mdomo ki propaganda wanadhalilika mchana kweupee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…