Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Aisee...
Hii vita ilipofika sasa wataoumia ni wengi
Naona Qatar kapigwa pigo baya sana huko..
Iran imeshambulia Ras Laffan Industrial City, kituo kikubwa kabisa Cha LNG duniani - ndicho kinachochakata na kusafirisha sehemu kubwa ya gas ya Qatar, mashambulizi hayo yamehusisha makombora ya ballistic na Qatar imethibitisha kuwa kumetokea uharibifu mkubwa sana.

Haya yamejiri baada ya Iran kushambuliwa na Israel kwenye hifadhi yake ya gas South Pars.

Trump amesema kuwa marekani haikujua na haikuhusishwa na Israel mpango wake wakushambulia hifadhi ya gas ya Iran, Huku akisema kuwa Qatar kuwa " nchi isiyokuwa na hatia" ameongeza kwa kusema kuwa "Hakutakuwa Tena na mashambulizi ya Israel kwenye South Pars isipokuwa Iran ikiamua kushambulia Qatar Tena"

Source: MSN, Newsday, CNBC.com
 
Hii hapo sehemu ya maneno yake Trump..πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
" The united state knew nothing about this particular attack, and the country of Qatar was in no way,shape or form, involved with it, nor did it have any idea that it was going to happen"

"NO MORE ATTACKS WILL BE MADE BY ISRAEL pertaining to this extremely important and valuable South Pars Field unless Iran unwisely decides to attack a very innocent, in this case, Qatar"

Hii vita naona imekuwa ya kiuchumi zaidi, Iran kumshambulia Qatar eneo hili nyeti la gas imemuuma sana maana naona hadi wizara ya nishati ya Qatar imelaani sana shambulio hili.

Ndio madhara ya kukaribisha adui karibu.
 
Anadhamini makundi yote ya kigaidi pale mashariki ya kati
Israel na Marekani wameweka kiongozi wa Al Qaeda ndio Raisi Syria sasa hivi, kama Akili yako haijafunguka hapo basi haitafunguka kamwe.

Ni Iran ndio alitoa Isis Iraq na ni Israel ndio Al Qaeda na Isis ndio wanatibiwa.

Jiulize wewe Hezbollah na Hamas ambao wanatetea Ardhi zao na hawajawahi kumgusa MTU na Makundi ya Kigaidi ya kimataifa ambayo yanaua Nigeria, Congo, Msumbiji, Somalia etc Nani anafadhili Ugaidi Duniani?
 
Kuwaingiza waarabu wote vitani dhidi ya Iran.
So far Houth hawajaingia hii vita, specific kuwa check point hao waarabu, anything happened wanapewa mwenzao mdogo mdogo, na Vita Kamili means tawala nyingi za kiarabu zinaweza dondoka, hawawezi live kushirikiana na Israel wakaachwa, kila kabila la kiarabu ni Jeshi.
 
β€œViongozi wengi wa Kiarabu wanaonekana kumuogopa Donald Trump zaidi kuliko wanavyomuogopa Allah.”
β€” Sergey Lavrov

Muktadha wa kauli hiyo ni kwamba Lavrov alikuwa akizungumzia siasa za Mashariki ya Kati na ushawishi wa Marekani. Alieleza kuwa baadhi ya serikali za Kiarabu hubadilisha sera zao kutokana na shinikizo la Marekani, hasa katika masuala yanayohusu Israel–Palestina na Iran.

Lavrov pia alisema kwamba Urusi haitaiacha Iran. Ujumbe huo ulikuwa unaelekezwa kwa Iran, ukimaanisha kuwa Moscow inaiona Tehran kama mshirika wa kimkakati na itaendelea kuiunga mkono.

Kwa mujibu wa The Times of India, Lavrov alisema katika mahojiano:

β€œUrusi haitawaacha kamwe marafiki zake.”
 
Qatar kuna hisa kubwa za USA kwenye uwekezaji wa mafuta.
USA kaguswa hapo.
Pia hata Israel jana oil refinery zimelipuliwa.
 
Mohammed Baghar Iran spokesperson "The met conclusion regarding hormuz,the strait won't return in normal pre-war conditions. New terms and regulations will be made for the use of the Hormuz".
-πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Anatapata mpaka sasa hakuna collateral damage ya kuumiza aliyofanya kwa wahusika wakuu wa vita Marekani na Israel.
Kwamba kupiga base za USA 27 middle east na Balozi za USA ambao ni uwekezaji uliochukua takriban miaka 50 kwako wewe unaona bado hakuna Iran alicho kifanya !? Humu tuta kuwa tuna jadiliana na Watoto sio Bure
 
😁😁😁 Mwendo wa Nini ??
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜„ Masaa 30 kuuzima mlipuka wa hitlafu yenyewe !? Aahhgh kmmk πŸ™Œ
 
Kwamba kupiga base za USA 27 middle east na Balozi za USA ambao ni uwekezaji uliochukua takriban miaka 50 kwako wewe unaona bado hakuna Iran alicho kifanya !? Humu tuta kuwa tuna jadiliana na Watoto sio Bure
Think like this USA katumia Trilioni 2 mpaka 3 USD kumtoa puppet wao SAdam Hussein na kuwapa Iran Nchi ya Iraq.

Hizo base zao Iraq, Balozi, mafuta waliyokua wakiiba etc vyote vinamalizwa. Uwekezaji wao wote walipofanya hapo umepotea chini ya mwezi.

There is a reason kwanini Trump yupo isolated, faida ya kutumia Nguvu over Akili.
 
Hasara ni kubwa sana kwa USA.
Uwekezaji alioufanya ziaidi ya miongo minne umeteketea ndani ya wiki 3 tu.
-Kambi za jeshi.
-Balozi.
-Uwekezaji wa kibiashara hususan mafuta.
-Radar za gharama.

Kiufupi USA ameshapoteza influence middle east.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…