Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Netanyahu: Israel iliamua yenyewe kushambulia vituo vya nishati vya Iran
 
Interim Prime minister ameshachaguliwa kumrithi Neta. Sasa kama hajafa kwanini interim leader achaguliwe??
Na huyo anayehutubia sasa hivi ni nani? naheshimu sana weledi wako ila mihemuko na Matusi inakudiscredit, hivi PM wa Israel kweli anaweza uwawa kwa hizo makombora yanayotokea huko yakeonekana na kujulikana yanatarget wapi kwa muda wote huo na asiwe evacuated?
 
Mwingine kaliwa mda huu

Afshin Naqshbandi, ambaye alikuwa mwakilishi wa jukumu la huduma ya lazima ya kijeshi (General Duty) ndani ya vikosi vya jeshi la Iran, ameripotiwa kuuawa katika shambulio la anga la Israeli.

Kifo chake kinatajwa kuhusishwa na mazingira ya kiusalama na operesheni za kijeshi, huku taarifa zikionyesha kuwa alikuwa sehemu ya mfumo wa usimamizi wa wanajeshi wanaotekeleza huduma ya lazima nchini Iran.

Basij, ambayo ni kikundi kinachohusiana na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), imekuwa na nafasi kubwa katika shughuli za kijeshi na kiusalama, jambo linalofanya tukio hili kuwa na uzito mkubwa kisiasa na kijeshi.

Jeff Massawe updates
 

Attachments

  • 1773948448940.jpg
    263.3 KB · Views: 15
  • 1773948351572.jpg
    263.3 KB · Views: 17
Netanyahu ni Either ameuliwa ama amejeruhiwa, intelligence za Iran zinasema amejeruhiwa vibaya Sana miguuni,

Hizo video ni AI ama video za zamani, zinadanganya Tu watu layman wasio na basics za Tech Ila MTU mwenye uelewa na Ai anazitambua haraka Sana, link ama upload video yake ya karibuni nitakusaidia kukuonesha why ni AI.
 
Argue na wenzio mie sio wa level hizo..
 
Naomba kuuliza inamaana mabomu yote ambayo Israel na marekani wanashusha hapo Iran , hayajaweza kuangamiza kabisa uwezo wa irani wa kurushwa makombora? Hili kitaalamu linawezekanaje au wairani wanatumia mbinu Gani?
Marekani na Israel wakiingia sehemu hawapendi kukutana na upinzani hivyo hali wanayoipitia sasa inawauma hadi kwenye makalio.

Kinachotakiwa kwa sasa wakimbie hilo eneo alafu waboreshe uhusiano wao na muajemi ili waendelee kupata ugali pale mashariki ya kati.

Mungu wa wayahudi mwenyewe anatambua nguvu za muajemi sababu zama za kale alimtuma malaika wake apeleke ujumbe kwa Daniel akadakwa kwa siku 21.... Daniel 10: 13
 
TUMEHAMIANKQA MAJAJI SASA KAZI WANAYO



HAWA NDIO WAKIAMURU KUUWAWA WATU MAELFU PAMBAFUUU SQLIMIA MABIKIRA ZENU 72 HUKO
 

Attachments

  • 1773952141889.jpg
    136.8 KB · Views: 16
Jaji Mohammed Khosrawani, msaidizi wa mpelelezi mkuu wa masuala ya amri na usalama katika jiji la Shiraz, pamoja na mpelelezi wa jiji la Lar (kitovu cha eneo la Larastan katika mkoa wa Fars, Iran), ameuawa kufuatia mashambulizi ya anga yaliyofanywa na Israel.
 
Unachoongea ndio ninachokishuhudia hapa maana nipo mwaka wa nne huku iran

Jamaa vikwazo vya uchumi ndio tatizo halafu hakuna sumu mbaya duniani kama propaganda atakaefanikiwa kuja kuishi iran miezi mitatu tu atagundua hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…