Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Yaani Karne hii unabishana na mtu kama huyo kama ana wasiwasi siaende google tu kutafuta ukweli au hata YouTube akipata vyanzo sahihi vya taarifa ataupata ukweli

Kuna watu smartphone technology wanaitunia Kwa kupost picture tu Whatsapp na insta !!!!!!!? Inashangaza sana
 
Duu hebu msome General Kenneth,uwekezaji middle east umewachukua US miaka hasmini, ila Iran ndani wiki mbili kachakaza huo uwekezaji wao.

Siku wakisema US wapige hesabu ya uhalibifu wa kambi zote za US middle east na miundombinu mengine ya kijeshi,sitoshagaa ikifika USD 1Til,kuna moja ya Radar kubwa ya kijeshi CENTCOM,New York Times wameripoti thamani yake ni USD 1.1bil.

Myaahudi Bandari Haifa,Haifa refinery, Banzan Refinery, viwanja vya ndege,vituo vya kuzalisha umeme vyingi vimepigwa. US sehemu zake ambazo naye anamaslahi middle east kwenye makampuni ya Gas,mafuta ya meguswa,Qatar jana tu ile kituo cha cha gas ambacho walitumia USD bil 26 kukijenga,ambacho US nae ana maslahi yake kimelipuliwa na hasara waliyopiga ni 20bil USD.
 
Anaye chukulia kwamba ni rahisi kulipua embassy za USA Aende pale msasani us embassy halafu akarushe jiwe
 
 
Balozi zilizoshambuliwa na kuathirika.
-Saudi Arabia.
-Iraq.
-Bahrain.
-UAE.
-Kuwait.

Al Udeid haiko operational unless uko ill-informed.
Ali Al Salem ndio ilikula kibiriti mapema sana haiko operational kabisa.
Kama hizo kambi zingekua operational wasingekua wanatumia ndege za ujazaji mafuta toka Israel kuja hadi Iran.
Labda utuoneshe ni lini baada ya mashambulizi USA alitumia hizo kambi dhidi ya Iran.
 
We jamaa kichwa chako kinafanya kazi!??
-Balozi 5 za USA zimelipuliwa na kambi zake 27 kushambuliwa na damage wamezithibitisha unadai hakuna USA au Israel alipoguswa??
-Jana Iran amelipua Haifa oil refinery plant je hiyo sio hasara kwa Israel??
Vipi kuhusu Beit Shemesh na watu waliouawa pale kwa kombora la Israel??
-Kwanini Israel inazuia utoaji taarifa??
 
Kabi nyingi zilizopo iraq zimeshambuliwa yes but hazijafungwa kwamba zime collapse hapana

And si kambi zote zina airbase, nyingi hazina so zina functiona kama FOB.
 
Kuna kushambuliwa na ku collapse, halaf kuna kushambuliwa lakini damage isiwe kubwa kiasi kwamba zisifanye kazi
 
Ety Iran mnapeleka moto ๐Ÿ˜‚

Haya mmeua kiongozi gn wa Israel kwenye huo moto wenu?

Umeondoka kwenye Dini vizuri โœ๏ธ

Makamanda Mawaziri Wapo wengi picha ninazo lkn vuta subra๐Ÿ™

Lkn kukusaidia chunguza Vikao vyao vyasasa vya KIJESH vipoje ยฟยฟ

Linganisha na Vita ya siku12 Vikao vyao vilivokuwa vinaushisha wengi!!!

Njoo kwa Netanyahu ile ya siku12 sio mala moja alitembelea maeneo yaliopigwa nakutoa neno!!

Hii yasasa yupo wapi!!! ??
 
Kwamba Israel wanazuia kutoa taarifa ila ww hizo taarifa unazo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ