Kama kambi radar zake zimepigwa na miundombinu muhimu ya mawasiliano kuharibiwa kuna functions tena hapo!??Kabi nyingi zilizopo iraq zimeshambuliwa yes but hazijafungwa kwamba zime collapse hapana
And si kambi zote zina airbase, nyingi hazina so zina functiona kama FOB.
Damage iliyotokea kambi haziwezi kutumika. Ndio maana US alienda kuomba matumizi ya kambi Cyprus na Diego Garcia pamoja na Spain.Kuna kushambuliwa na ku collapse, halaf kuna kushambuliwa lakini damage isiwe kubwa kiasi kwamba zisifanye kazi
Israel wanafanya news cencorship.Kwamba Israel wanazuia kutoa taarifa ila ww hizo taarifa unazo?
Kwan kuna vita ambayo haina gharama?Duu hebu msome General Kenneth,uwekezaji middle east umewachukua US miaka hasmini, ila Iran ndani wiki mbili kachakaza huo uwekezaji wao.
View attachment 3560321
Siku wakisema US wapige hesabu ya uhalibifu wa kambi zote za US middle east na miundombinu mengine ya kijeshi,sitoshagaa ikifika USD 1Til,kuna moja ya Radar kubwa ya kijeshi CENTCOM,New York Times wameripoti thamani yake ni USD 1.1bil.
Myaahudi Bandari Haifa,Haifa refinery, Banzan Refinery, viwanja vya ndege,vituo vya kuzalisha umeme vyingi vimepigwa. US sehemu zake ambazo naye anamaslahi middle east kwenye makampuni ya Gas,mafuta ya meguswa,Qatar jana tu ile kituo cha cha gas ambacho walitiiumia USD bil 26 kukijenga,ambacho US nae ana maslahi yake kimelipuliwa na hasara waliyopiga ni 20bil USD.
".....hakuna kiongozi yeyote wala miundombinu heavy ya Israel/USA iliyoguswa zaidi ya maumivu kwa Iran na viongozi wake........"Kwan kuna vita ambayo haina gharama?
Basi una/ulikuwa na akili za kijinga.Duhh Aibu kubwa sana 🤣
Mimi nilidhania ukiwa mwanajeshi wa Nchi kama USA huwezi kuogopa bomu
Shida ndio hako hapo, but kambi zipo operational, zinashambuliwa yes but damage haijawakubwa.Damage iliyotokea kambi haziwezi kutumika. Ndio maana US alienda kuomba matumizi ya kambi Cyprus na Diego Garcia pamoja na Spain.
Zingekua hazija collapse mkuu US angeenda Cyprus kufanya nini??
Na airbase bila radar sio airbase.
Radar zote zimelipuliwa na ushahidi ulitolewa radar kulipuliwa.
Kwa kumaliza mjadala hali iliyopo sasa USA hawezi kuzitumia kambi za gulf states kwa sasa.Shida ndio hako hapo, but kambi zipo operational, zinashambuliwa yes but damage haijawakubwa.
And for the record bro yes in war times airbase zinaweza operate bila radar. Soma miongoz ya airforce air control manuals na civilian za US. Wana nanma. And wananbackups
Ukiondoa ndege Israel ni mweupe sana.Ukiondoa missile, Iran ni mweupe sana
Well huu mjadala hatoweza isha mpaka vita iishe. As for you and me ambao hatupo kwenye hiyo vita , ni hivi until us atakudhoofika kiuchumi ndio nguvu zake kijeshi zitapungua. But as of now si kambi zote hazitumiki. Bado kuna ambazo ziko operational
Kwa kumaliza mjadala hali iliyopo sasa USA hawezi kuzitumia kambi za gulf states kwa sasa.
Ni mweusi kwenye missiles na ni mweupe huko kwingine inatoshaUkiondoa missile, Iran ni mweupe sana
Nani kakuambia tageti yetu ni kuuwa viongozi? Tunawaacha viongozi ili washuudie nchi yao inavyogeuzwa na kuwa magofuEty Iran mnapeleka moto 😂
Haya mmeua kiongozi gn wa Israel kwenye huo moto wenu?
Airbase za gulf states za US zimeharibiwa vibaya. Hazi operate..Shida ndio hako hapo, but kambi zipo operational, zinashambuliwa yes but damage haijawakubwa.
And for the record bro yes in war times airbase zinaweza operate bila radar. Soma miongoz ya airforce air control manuals na civilian za US. Wana nanma. And wananbackups
Ingelikuwa hivyo vikosi vya Israel na US vya ardhini vingeshaingia Iran.Ukiondoa missile, Iran ni mweupe sana