Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari


Wacha maneno mengi weka mziki

tupe Ushahidi kwafaida ya wasomaji wa Jamii forum 🀠🀠
 
Kuna wakati Makafiri wanakiwasha, na Kuna wakati Kobazi wanachafukwa wanawasha Moto.

Tofauti ni kwamba, kobaz hawatoi sana milio hata wakifinywa, Ila makafiri yanatoa milio sana sana na mauongo uongo kibao. Utasikia wamejeruhiwa watu wawilli tu.
 
Ndugu mnakumbuka jana niliwaambia Israel kupiga Nuclear ya Natanz ilikuwa mchongo umeshasukwa UN ❗️

walijua tu Iran itajibu kupiga facility za Dimona !!!

Kwao ndio Sababu ya kusimamisha Vita Kisheria kupitia chocho za UN!!!

Jumatatu au j4 ngoma itakuwa UN.

MAREKANI na Israel na Washirika wao washajipanga UN.

Hii UN. ipo kimipangoyao tu!!

moja wapo kuilinda Israel!

Vita wameshindwa sasa wanakimbilia UN.

nimekaaa pale na mwajuma wangu.. 🀠🀠🀠🀠🀠
 
1. Muda mfupi uliopita Iran imeshusha F-15 katika anga la Hormuz

2. Sattelite ya Wachina imeonyesha makombora yalitua Diego Garcia na kuleta uharibifu

Pale Diego Garcia kachapwa. Sasa washaona wamedandia mtumbwi wa kibwengo kesho j3 Wanakimbilia UN shubamit zao.😜😜😜😜😜😜
 
IRGC hivi punde imetuma wimbi la 74 la operation Promise 4 la vimondo vingine kuelekea Israel, mkisikia mguno jua vimeshampopa mtu.

Apigwe dhalimu apigwe, apigweeeee
ApigweeeπŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯ ApigweeeeπŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯ ApigweeeeπŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…