Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Akili hizo ww!! Vita ni gharama! allies wapo ili ushirikiano uwepo!!! Iran kabla ya vita uchumi ulikuwa Hoi! Sasa sikilizia baada ya hii vita Watakuwa wamerudi miaka 50 nyuma.
Kuanzisha vita usiyoweza kuimaliza si akili. Ni matope.

Allies gani unaowazungumzia wewe? Hawa ambao Trump anawaita cowards? Hawa hawa ambao Trump anatishia kuwavamia?
 
Leo kweli kobazi mmetembeza kichapo hivo ndio inatakiwa sio kila siku Mayahudi wanawatembezea nyie tu.
Sasa subirini majibu ya muyahudi msikimbie uzi.
Hao Kila siku wanachezea kichapo walikuwa wanaficha taarifa now taarifa hazifichiki Tena 😁😁

Mficha maradhi ............
 
Tatizo Cristian wa uko waoga sana American sawa na wa Africa au Ulaya Magharibi laini laini sana kufa waoga sana..!!!

Cristian wa Ulaya Mashariki ndio ngangari sana.kama uko Russia Ukraine Belarusian Nk.
Hata Khamenei ni mzungu wa Ulaya Mashariki, Caucasus to be specific, sio muajemi, Iran kaskazini ni wazungu including Khamenei, Ahmednajad etc.
 
Ah nadhani una miss my point hapa. Vita vya iran havijabadilisha ukraine. Ukraine was at war kabla hata iran haijaingia kwenye machafuko.

So basicaly first , ukraine walipata solution before.

Ndege zina nafasi yake, meli za kivita zina nafasi yake.
Sio strategy ya kizamani, first of all ndio ina project ukubwa wa jeshi.

Drones zina nafasi yake but haimaanishi kuwa drones pekee ndio zinaweza kushinda vita no

So hapa ni suala la adaptation , haimaanishi tech ni ya kizamani no, strategy. Hayo ni mambo mawili tofauti
 
Marekani amavuliwa nguo na shoga yake Israel! Nimegundua propaganda ni silaha mbaya sana kuliko hata bomu la nyuklia. Miaka yote hii tuliaminishwa Iran ni wabaya halafu Israel ni taifa teule la Mungu, ila kivitendo Iran ni mpole na Israel ni mkatili.
 
Inawezekana sababu ya msingi ya vita isiwe mafuta au madini muhimu ila ni hofu ya Israel dhidi ya supremacy ya Iran kwenye Tech, elimu, jeshi, utamaduni, n.k pale middle east. Pamoja na kwamba tunaaminishwa dunia yote inaendeshwa na teknolojia ya myuhudi ila ushahidi wa mipango na silaha za kivita unaonyesha Iran yuko mbele ya Israel kimaarifa.
 
mlokole mavi wewe kuelewa kinachoelea kwako ni vigumu kama kushauri mtu anaeenda kutapeliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…