Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Labda ndio maana wanaua watoto wa shule ya chekechea na wanasayansi
 
Naomba niulize swali kwa wanaojua masuala ya kivita na intelijensia. Kama marekani na israel wana uwezo wa kuwafuatilia viongozi wa juu wa Iran na kuwamaliza kirahisi tu, inakuaje israel na marekani wasijue zilipo launching site/storage facilities za haya makombora wakashambulia ili kuwapunguza nguvu Iran?
 
Midude itakuwa imesokomezwa milimani sasa ili uifyeke yote inabidi usawazishe hiyo milima kitu AMBACHO ni gharama.

Unakumbuka siku marekani anajinasibu kupiga ilipo nuclear facility, ilibidi atumie ndege zake mbazo sio mara kwa mara hutumia only kubeba bunkerbuster? Plus vikao vizito

Sasa uvivu unaanzia hapo.

T14 Armata njoo mtaalamu utupatie elimu juu ya hili swala
 
💥💥💥💥
Netanyahu: tutajibu kwa nguvu kubwa lakini si kwa kulenga raia , tutawalenga viongozi wa serikali na jeshi. Tutawafuatilia hili genge la wahuni mmoja baada ya mwingine pamoja na vitega uchumi vyao
 
Ndio maana Israeli inafeli pakubwa. Hamasi bado wapo, Hezbollah bado wapo na Irani wataendelea kuwepo. Kuuwa biongozi imeonekana sio suluhisho la migogolo kwani vionhozi wapya na hatari zaidi hichumua nafasi
Kuuwawa kwa viongozi wa nchi ni hasara kubwa mno huwezi fananisha na kuuwa viongozi wa wanamgambo. Kinachouma viongozi wa wapinzani wako wapo wanadunda tu. Hii inaleta aibu kubwa sana kwa taifa. Hata raia wanajiona kabisa hawako safe ikiwa adui ataamua kuwalenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…