Saanaπ¨Inawezekana sababu ya msingi ya vita isiwe mafuta au madini muhimu ila ni hofu ya Israel dhidi ya supremacy ya Iran kwenye Tech, elimu, jeshi, utamaduni, n.k pale middle east. Pamoja na kwamba tunaaminishwa dunia yote inaendeshwa na teknolojia ya myuhudi ila ushahidi wa mipango na silaha za kivita unaonyesha Iran yuko mbele ya Israel kimaarifa.
Kaka naona umeunga juhudi π€£
Iran ilijipanga miaka zaidi ya 20 kwa vita hii. Ilijua kuwa launching sites za makombora zitapigwa hivyo ikatengeneza hardened bunkers zenye njia kama mbili au tatu za kuingia na kutoka. Pia hizo zina vifaa kama bulldozers humo ndani kwa ajili ya kuondoa vifusi endapo zitashambuliwa. Zimejengwa kwenye miamba na milima, Iran ina milima mingi sana. Kupiga hizo hardened bunkers ni mpaka bunker busters ambazo hazibebwi hovyo na kila ndege.Midude itakuwa imesokomezwa milimani sasa ili uifyeke yote inabidi usawazishe hiyo milima kitu AMBACHO ni gharama.
Unakumbuka siku marekani anajinasibu kupiga ilipo nuclear facility, ilibidi atumie ndege zake mbazo sio mara kwa mara hutumia only kubeba bunkerbuster? Plus vikao vizito
Sasa uvivu unaanzia hapo.
T14 Armata njoo mtaalamu utupatie elimu juu ya hili swala
View attachment 3561471
Hezbollah iko inafanya nini, Hamas iko inafanya nini. Israel haijawahi wapiga ili wasiwepo. Wewe endelea kuwepo, ila utafanya nini ndio point.Ndio maana Israeli inafeli pakubwa. Hamasi bado wapo, Hezbollah bado wapo na Irani wataendelea kuwepo. Kuuwa viongozi imeonekana sio suluhisho la migogolo kwani viongozi wapya na hatari zaidi hichukua nafasi
Wamejitahidi kuvunja majumba ya wayahudi.Leo kweli kobazi mmetembeza kichapo hivo ndio inatakiwa sio kila siku Mayahudi wanawatembezea nyie tu.
Sasa subirini majibu ya muyahudi msikimbie uzi.
Impact yake nini hizo apartment ambazo zinaweza kufanyiwa maintenance Kwa gharama ndogo kulinganisha na gharama za makombora
Kiazi wewe unampangia adui yako mbinu?Impact yake nini hizo apartment ambazo zinaweza kufanyiwa maintenance Kwa gharama ndogo kulinganisha na gharama za makombora
Je hizo ni site za jeshi?
Israel anashambulia target muhimu Iran anashambulia holela TU Cha misingi Arushe TU
Pro Iran hamna tofauti na Ayatollah Khomeini maneno mengi
Nimeonyesha TU adui alivyo dhaifu kwenye target π―Kiazi wewe unampangia adui yako mbinu?
Kwahiyo hauoni inavyo ishugulisha huko kaskazini mwa Israel ikifanya mtungo na Irani?Hezbollah iko inafanya nini, Hamas iko inafanya nini. Israel haijawahi wapiga ili wasiwepo. Wewe endelea kuwepo, ila utafanya nini ndio point.
Warushe makombora kama walivyokuwa wanafanya.
Mkuu uko wapo hizbollah ilipoua 30+ IDF personnel Israel Kaskazini??Hezbollah iko inafanya nini, Hamas iko inafanya nini. Israel haijawahi wapiga ili wasiwepo. Wewe endelea kuwepo, ila utafanya nini ndio point.
Warushe makombora kama walivyokuwa wanafanya.
Taja hao makamanda waandamizi saba wa Israel waliouwawa na Hezbollah, nikutajie makamanda wote wa juu wa Hezbollah waliouwawa na Israel tangu ile October. Kwa sasa Hezbollah haina kamanda aliyepo madarakani kwa miaka miwili, wote ni wapya na wanazidi kuuwawa.Mkuu uko wapo hizbollah ilipoua 30+ IDF personnel Israel Kaskazini??
Hadi hivi sasa Hizbollah inapeleka moto Galilaya kiasi kuna internal displacement.
Na makamanda waandamizi SABA wameuawa na Hizbollah.
Yule mtoto wa waziri wa fedha amejeruhiwa na hizbollah kwa cross fire.
Lengo lao kubwa ni kuendelea kuwepo kama dola Huru.Kuuwawa kwa viongozi wa nchi ni hasara kubwa mno huwezi fananisha na kuuwa viongozi wa wanamgambo. Kinachouma viongozi wa wapinzani wako wapo wanadunda tu. Hii inaleta aibu kubwa sana kwa taifa. Hata raia wanajiona kabisa hawako safe ikiwa adui ataamua kuwalenga.
Hii wanashambulia hapa kila siku au makombora yanauwezo mdogo wa kuleta madhara. Maana hii ni karibu mara ya kumi wanashambulia hapohapoπ₯π₯π₯π₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la Bandar abbas
View attachment 3561451