Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la Qeshm
 
Hii wanashambulia hapa kila siku au makombora yanauwezo mdogo wa kuleta madhara. Maana hii ni karibu mara ya kumi wanashambulia hapohapo
Bandar abbas sio eneo dogo, maeneo yanayozunguka bandar abbas kuna targets nyingi. Sawa na unaposkia karibu kila siku Iran imeshanbulia katikati wa Israel, haimaanishi kuwa katikati ya Israel yote imekwisha.
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo eneo la jeshi la anga Bandar abbas. Milipuko mikubwa sana
 
Ayatollah alivyoambiwa akajifiche kwenye bunker aliwajibu Jeshi lake kama mnataka Mimi nikae kwenye bunker basi hakikisheni Raia wote milioni 90 wapo kwenye bunker na Mimi nitaenda, siwezi kujificha Hali ya kuwa Raia wangu wanauliwa.

Viongozi wengi wa Iran Wana mentality hio, hawa wote waliuliwa juzi wamekufa majumbani mwao, nothing impressive kwamba sijui kulikua na udukuaji mkali,

Iran ana milima mikali ambayo hakuna bomu linaweza fika huko, just imagine wanajiamini kiasi gani Hadi wamempeleka mwandishi wa habari wa CNN huko chini ya Ardhi kwenye missile city zao. So MTU akitaka kujificha huko hakuna kitu kitamgusa.

Ukitaka kuelewa ni ngumu kiasi gani fikiria mlima Kilimanjaro hapa Tanzania Una Mita kama 5800 sasa upunguze kidogo kama Mita 200 Hadi 1200 unapata Safu za milima ya Iran, unatifua vipi mlima kama Kilimanjaro wenye Mita Hadi 5600 upige hio miji ya silaha?

Mfano wa alborz mountain range

Ndio maana unaona Israel na USA wapo busy kupiga Tehran wanajua hio milima hawaiwezi, wamebeti Tu Kutokee mpasuko ndani ya Iran.
 
Mbona huyu mpya yupo kwa bunker
 
Trump kampiga biti muajemi ndani ya masaa 48 asipofungua mfereji wa hormoz watashambulia vituo vya umeme. Inasemekana Iran anavituo vya umeme 400. Kati ya hivi vikubwa ni 5. Lakini hivi vitano vinachangia umeme kwa 3% tu nchi nzima.
Wakati huo inasemekana Israel anavyo vikunwa vitano tu ambavyo kama Iran warajibu kwa kuvishambulia madhara upande Wa Israel ni makubwa na ya haraka zaidi.

Tuombe amani hwa jamaa wamebondana vya kutosha sasa tuendelee na mambo mengine
 
Mbona huyu mpya yupo kwa bunker
Kila MTU na uongozi wake, huyu wa sasa by profession ni mwanajeshi, ukiangalia kichapo wanachotoa Iran unaona systematic Wana kiongozi wa Aina gani, from defensive position mpaka sasa wao ndio wapo kwenye offensive,

Toka mwanzo critics wake wanasema Hana Elimu ya dini ya kutosha kuitwa Ayatollah, so usitegemee awe na huruma kama Baba yake.
 
Mossad imeingizwa chaka inauwa vizee tu.🀠🀠

IRAN ilgundua njia nzuri ya kupambana na Mossad waliojiwekeza sana ndani ya Iran🀠

dawa yao ni kupeana vyeo Wazee
Walio tayari kufa Shahid na ni wastaafu
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
View attachment 3561539
Mafanikio ya Epstein coalition so far.
Malengo yaliyotarajiwa na Marekani katika vita hivi:
1- Kuiangusha Serikali ya Iran = Limefeli
2- Kuchochea Wananchi kuiasi serikali yao = Limefeli
3- Trump Kumchagua kiongozi anayemtaka = Limefeli pia!
4- Kuharibu mpango wa nyuklia wa Iran = Limefeli
5- Kuharibu makombora ya masafa marefu= Limefeli
6- Kudhoofisha nguvu ya jeshi la Iran = Limefeli!

Lakini bado kuna mtu atakuambia Marekani imeshinda vita!


πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…