Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari


Hapa ndipo MAREKANI ushindi wake Ulipo.

Ni ukweli uliowazi kupitia mbinu hii marekani hajawahi kupigwa tangu awe superpower
 
Yeah , tunaelewana mno , ila wewe mmbulu watakupaka mafuta , wewe ni kibaka tu huna lolote kawadanganye wanaosinzia
kamwe hua sielezi uongo gentleman,
jukumu langu muhumu JF ni kueleza ukweli kwa upendo na upole kwenye mambo ya msingi tu na si vinginevyo
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Airport ya Kuwait ikiwa imeshambuliwa na makombora ya Iran
 
Maisha hizo nchi ni ya tabu sana.

Iran kwann asiishambulie US moja kwa zote.
 
Ndio maana anapiga kambi zake, baada ya kuzishambulia hawatokuwa na uwezo a kuishambulia Iran labda watokee Israel ambapo usiku huu dozi inaanza.

Halafu usinitukane, kwenye matusi nimepewa platinum member na nipo verified, usiguse huko..
 
Upo sahihi.
Naamini baada ya Ile vita ya Siku 12 Iran iliona umuhimu wa kuwa na Nuklia sio ajabu Siku hizi chache ilikuwa inafanya himahima. Lakini Wamarekani ni kama hawataki hilo kutokea
Hawawezi kuruhusu kwa sababu wanajua kuwa Iran ikimiliki silaha za nyuklia na nchi nyingine hapo Mashariki ya kati zitaanza harakati za kimiliki hizo silaha hivyo itakuwa mwisho wa ubabe wao wa kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…