Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la shahin shahr Isfahan
 
Kama vita ni mashambulizi ya hivi nadhani houth wangelikua hawana serikali sembuse Irani? Hapa mbungi ya ardhini ndio italeta majibu sio vijikombora watu viwanda viki chini ya milima
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la Isfahan
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la islamshahr
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la shiraz
 
Mie nahisi marekani ndio shetani mwenyewe.
Huwezi fanya unyama kama ule kisa interest zako, umeme sio wa rais ni wananchi wote wanategemea hapo
 
Mie nahisi marekani ndio shetani mwenyewe.
Huwezi fanya unyama kama ule kisa interest zako, umeme sio wa rais ni wananchi wote wanategemea hapo
Kuna mambo yanaendelea Duniani mkuu ukiona unashangaa, Kazakhstan wameweka kibaraka wao, juzi wame sign mkataba Marekani atachimba mafuta wao wanapewa Asilimia 2 tu, just imagine mafuta yalivyokuwa na hela, then unakula Asilimia 2 tu jamaa wanabeba kila kitu. Hata Ukoloni haukua hivi, ikitokea kiongozi ana msimamo wa kulinda Rasilimali zake ataitwa kila jina.
 
Lengo la kwanza la Myahudi na USA ni kuwalazimisha raia wa Iran kuandamana na kuiondoa serikali ya Ayatollah madarakani kwa kuwatengenezea mazingira magumu ikiwa ni pamoja na kumuua kiongozi wao, hilo limekuja kinyume kabisa na matarajio yao. Matokeo yake tunaona mitandaoni raia wa Israel ndio wameandamana kupinga vita na kuanza kuikimbia nchi yao ya ahadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…