Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Taifa la Israel litajengwa upya na watumwa kutoka iran , acha vaa kibaz waendelee kurusharusha hovyo makombora hii gharama watalipia miaka na miaka tena kwa mateso makali sana..
 
Nishakwambia acha porojo na propaganda za kijinga ,unadanganya watu sana humu ,Sisi tunakuchora tu

umeweka references zako halafu wewe mwenyewe huzielewi.
Umesema

Meli imepigwa
Imeharibika vibaya
Miezi 14
Majeruhi 200 serious


Sasa twende na sources zako mwenyewe πŸ‘‡

The Guardian (ulichoweka wewe mwenyewe)
πŸ‘‰
Wanasema

πŸ‘‰ β€œnearly 200 sailors were treated for smoke-related injuries”

Sio
❌ majeruhi wa vita
❌ meli kupigwa
❌ meli kuharibika vibaya
πŸ‘‰ Ni moshi tu (smoke inhalation), sio combat injuries.

Halafu Kuhusu moto
πŸ‘‰ Ulitokea ndani ya meli (laundry area), sio shambulio
πŸ‘‰ Hii ndiyo habari halisi

Hakuna popote wamesema hapo
Iran imeipiga hiyo meli
kombora limeigonga

Na Kuhusu hiyo itakaa miezi 14

Nipe sehemu moja tu kwenye hizo links zako
πŸ‘‰ NYT au Guardian walipoandika miezi 14

πŸ‘‰ Hiyo ni story ya video zako zile za YouTube na speculation, sio report.,ndio maana nasema acha kudanganya watu

Nimekuomba satellite na radar kupigwa kwa hiyo meli ,umeleta link ya NYT ni map ya mashambulizi kwa ujumla, sio proof ya aircraft carrier kupigwa,USS Ford kuharibika,

Umeenda umeleta link ili uaminike kumbe ndio unazidi kujidhalilisha.

Na umeshajua waislamu na pro Iran ni mbumbumbu na hawafatilii mambo kwa undani .

Ukweli ni huu Moto mdogo umetokea ,Watu wameathiriwa na moshi , lakini Meli bado iko operational

Ila hizi zako imepigwa na Iran imeharibika vibaya,itatengenezwa kwa miezi 14, zote hakuna source hata moja uliyoleta inayosema hivyo

Tatizo lako sio kukosa reference tatizo lako ni kutafsiri vibaya reference zako mwenyewe vitu ambavyo hazipo kwenye hizo links hiyo sio debate, hiyo ni kujiongezea story juu ya habari
 
Mkuu mbona kama wewe ndio unaleta porojo? Embu tuambie alipo Mojtaba.
 
Humu kuba mtu mmoja mpuuzi na ana ujuaji wakijinga sana,humu ukileta facts na vivid source hakuna hata atakayekubishia taarifa zako na kama huna source hatuwezi tukawavtunaamini kelele zako na maandiko yako mareefu..Mtu anapewa source ya Hindustan news media yenye miaka zaidi ya mia,Guardian ambao wana uwezo wakufanya uchunguzi na kujua vitu hata kama vimefichwa na mamlaka,na wengu wana satellite zao bado mtu anataka tumsikilize yeye kisa Marekani wamesema au hawajasema..Upuuzi
 
Wanapigana Iran na Israel.
Maumivu wanapata wabongo.

Endelea kutupa habari. Kama kuna mtu anakereka simple tu ana ku ignore.
 
hata yeye anaweza kuleta habari za mashambulizi ya Iran kwa sababu hili ni jukwaa huru. lakini cha ajabu wengi wao ( proiran )wanalazimisha kila mtu alete habari za kuwafurahisha wao. wanafahamu kabisa ya kuwa Irani harushi makombora kila wakati ila wanataka utoe habari ya kuwa kashambulia. ila mi nishawaelewa kwenye huu uzi ni wewe pekee ambaye unatoa updates za ukweli ndio maana watu wengi wakiwamo wao wanataka utoe updates za upande wanaoutaka.
 
Kwa hyo Iran hataki Negotiations ama
Kutaka au kutotaka sijajua mkuu.
Ila Trump alisema amezungumza na Iran kwenye Ile taarifa yake akasema hawatopiga miundombinu ya nishati kwa siku Tano...
Ndio Iran wakakanusha kuwa hawajazungumza chochote na Marekani, Ingawa Bado Trump anasema anaendelea ku- negotiate na Iran na Iran wamempa zawadi nzuri, Ila Bado Iran wakajibu hizo ni "Fake news"
 
Sema wa iran inaonesha wapo vizuri sana kwenye kuficha hizo lancher zao na hizo missles..kias kwamba US na Israel wameshindwa kujua zilipo
 

So the US wiped the Iranian leadership off the face of the Earth.
Then they defeated the leadership that was wiped out.
Now they are negotiating a ceasefire with the leadership that no longer exists?

Make it make sense!

Mtu anakaza shingo kuonesha ujinga wake wakati source zote reliable anapewa
Anategemea US wakiri kuwa meli yao imepigwa?
Kwa mtu yeyote aliyewahi kupanda meli au boats za kawaida anaweza kuona fire alert na extinguishing systems zilivyo
Sembuse hilo aircraft carrier lenye latest technology na limepitia operational requirement zote kabla ya kuwa deployed na ni sawa na military base 2 na watu/askari zaidi ya 2000, humo ndani huo ulinzi na mifumo yake ikoje?
Trump amekiri zilipigwa missiles 100 kwenda USS Abraham Lincoln na wamezitungua lakini hawezi kukiri uharibifu mpaka wameliondoa kimya kimya licha ya mbwembwe zote wakati linaenda huko
Moto uzuke laundry ndio ujeruhi watu zaidi ya 100 na lichukue repairs za miezi 14, kama sio missile effect ni kitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…