Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 12,096
- 22,468
Unashangaa mwanajeshi kufa vitani we una akili kweliUna habari kama Marekani kapoteza wanajeshi maji 13 nchini Bahrain!??
Na support navy fleet moja imezamishwa tayari ikiwa na askari ndani yake?
Wewe nani kakuambia mimi muislamu?Uislam na waumini wake wamejaa uongo na propaganda
Israel Aliua All top IRGC commanders na Bado unakuja hapa unasema Israel alipigwa 😁
Weka picha hata Moja nioneshe kamanda yoyote wa Israel alieuliwa na hao wahuni wa Iran
Ya kupigwa tunakuachia wewe!mnajiandikiaga tu, yaani ipige tu bila kupigwa?
Israel haina uwezo wa kuvumilia mikwaju kama Iran, tutaona nani ataanza kuomba cease-fire.mnajiandikiaga tu, yaani ipige tu bila kupigwa?
Well said..Hapo middle east wale wazee wa lobby wanahitaji military superpower mmoja Tu, ndo vita yote hii sababu ni hiyo.
Kama top commanders wa vita wanauliwa utasema hiyo nchi Ina ulinzi ?Kuua top commanders ndio kushinda vita!?
Imeleta faida gani wao kuua hao makamanda ilhali Iran ilichagua makamanda wapya na ikaendelea na vita!?
Huna akili Israel Kila dini inapewa haki sawa.Funny thing Umuelezea exactly Israel,
Hilo eneo la Israel ndio kuna dini kongwe na madhehebu ya zamani yote historically Waroma na mpaka Leo Waisrael wanawatarget na kuwaua.
😂😂😂alifikir Iran ni Iraq!! Mpaka Kesho Tutaona Mengi!Habari zinasambaa kuwa Trump ametaka usitishwaji vita kupitia Italy.
Hili sijui kama lina confirmation wacha tuone.
Nilikataa hii taarifa? Naomba nikumbushe nilisdmaje. Pia niquote hapo nilipokataa maana naamini umekoseaMwanzo ulikataa hii taarifa
Hilo suala la middle east yote kuchafuka Iran huwa anarudia sana kulisema toka 2011, and finally imefika...Nachojua Irani inapiga nchi jirani sababu anataka nchi hixo kutoruhusu ardhi zao kufanya mashambulizi dhidi yake.
Hivyo hawatokufa kizembe yaaani ni kwamba middle east yote itaenda kuteketea kwa upuuuzi wa waarabu wenyewe.
Mnyamwanga gani tena tahira hivo hapana tumemkataa!Huyo sio mmbulu ni mnyamwanga 😹
Na cha ajabu Israel haitoweza shinda vita kwa kulenga hao commanders..Kama top commanders wa vita wanauliwa utasema hiyo nchi Ina ulinzi ?
Leo tu top commander mmoja na waziri wa ulinzi wameshatangulizwa Kwa Allah wakasugue visimi vya mabikra 72 unasema Kuna ulinzi hapo.
Iran kazungukwa na maadui everywhere