Masoud hana kauli wenye kauli ni IRGC chini ya mojtabaMWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesema kuwa Iran ina “nia ya dhati” ya kumaliza vita vinavyoendelea dhidi ya Israel na Marekani, lakini inatafuta dhamana ili kuhakikisha mzozo huo hautajirudia tena.
Tuliambiwa kwamba kambi zote za USA zimesambaratishwa na wanajeshi wanasakwa mitaani wanakojificha.View attachment 3565467
Sawa ni uongo hata huyo General wa CENTCOM wa US ni muongo? Halafu husitegemee eti kambi ikipigwa wanajeshi wataondoka mda huo huo,kambini kuna siri nyingi sana lazima wazilinde pamoja na kupigwa,hivi unazani juzi baada ya kupigwa kwenye kambi zao za Saudi waliondoka mda huo huo? Maana kuna ndege zimeharibiwa, ukiondoka adui akichukua picha na baadhi ya ndege zako,kwenye uwanja wa kivita maana yake umepoteza. Hata Iraq sehemu ambayo kambi nyingi zimefumuliwa kuna baadhi ya kambi wanajeshi wa US bado wapo.
Unalala sana itakuwa. Unatuletea habari zilizopitwa na muda sana. Kwa Sasa habari ya mjini ni trump kuwaambia waingereza waende wenyewe Iran wakachukue mafuta. Tena amewaambia kwa hasira baada ya wazungu hao kumtosaMWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI KWA KIBOKO YA ALLAH NA MAGAIDI 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Marekani iko katika mazungumzo makubwa na utawala mpya na ulio na msimamo wa busara zaidi ili kumaliza operesheni zetu za kijeshi nchini Iran. Kumekuwa na maendeleo makubwa, lakini ikiwa kwa sababu yoyote ile makubaliano hayatapatikana hivi karibuni (ambayo inawezekana yatapatikana), na ikiwa Mlango wa Hormuz hautafunguliwa mara moja kwa shughuli za biashara, basi tutamaliza uwepo wetu Iran kwa kushambulia na kuharibu kabisa vituo vyote vya kuzalisha umeme, visima vya mafuta na Kisiwa cha Kharg (na huenda pia mitambo yote ya kusafisha maji ya chumvi), ambavyo kwa makusudi bado hatujavigusa.
Hatua hii itakuwa ni kulipiza kisasi kwa askari wetu wengi na wengine ambao Iran imewaua katika kipindi cha miaka 47 ya kile kinachoitwa “utawala wa ugaidi.”
Asanteni kwa kuzingatia jambo hili.
Rais Donald J. Trump
View attachment 3565472
Asubuhi hii ya leo amebadilika.Trump says US will leave Iran 'whether we have a deal or not'
Trump says US will leave Iran 'whether we have a deal or not'
The president says any deal with Tehran is "irrelevant" to when the US leaves the conflict, claiming that day could come in two to three weeks.www.bbc.com
zinavyo cangamaka nauli hali kadhalika bidhaa4000 per litre huko mikoani. Wanafunzi walioko nyumbani wazazi wajiandae nauli zitapaa,
Iran hii vita atashindwa kwa tabia yake ya kusikilizia, eti apigwe nae ndio apige, strategy mboovu kabisa, kipigwe kisima nawe ndio upige kisima, upigwe chanzo cha maji nawe ulipize.. ilitakiwa baada ya kuanzwa, apukutishe sekta muhimu pale israel kwa haraka sana kiasi isarel akose pumzi.
Sasa hapa siku wakifumua maeneo yake aliyohifadhi hayo makombora ndio kwisha,
Anahadaika na propaganda za ceasefire, mbona hii michezo wameshamchezea sana, wanazuga hatushambulii wanashambulia, tusimamishe vita, ye anatulia wenzake wanapiga
Kwa kuwa kale ka israel ni kadogo, wakiamua kutarget sehemu muhimu saa hizi netanyahu analilia uhamishoni.. wameshapiga kambi za mmarekani, tena kwa kusubiri wapigwe nao warudishe huu ni ujinga..Kobaz ana kauseng*e fulani hivi.
Tofauti na Hilo la kusubiri apigwe ndo alipizie, Mimi huwa namshangaa kobaz yeye anauliwa viongozi na watu muhimu yeye hauwi viongozi wa adui yake.
Wenzake wapandikiza majasusi nchuni mwake yeye anashindwa nini kupandikiza majasusi kwa adui
Kobaz aache useng*e
Hivi huyu trump zimo kweli?Asubuhi hii ya leo amebadilika.
Anasema kama Iran isipokubali maridhiano eidha waivamie Kharg island au wakilipue kisiwa chote cha Kharg.
Aya leo amemtuma Witkoff amtafute waziri wa mambo ya nje wa Iran personally ili amshawishi wakae mezani.Hivi huyu trump zimo kweli?
Hana washauri wamwambie akae kimya?
Huo ndio ukweli wenyewe na Pentagon wiki mbili zilizopita waliomba msaada serikali ya Iraq,wawasaidie kwalinda wanajeshi na baadhi ya wanadiplomasia wao. US walibugi baada ya kushambulia kambi za wanajeshi wa Iraq ,serikali ya Iraq wamemind so ka sasa lao na wana mambo wa Iraq lao moja. Kuna vita kali inaendelea kati ya Iraq na US,Lebanon na Myahudi ila ya Iraq na US ni vita ya kutafutana.Tuliambiwa kwamba kambi zote za USA zimesambaratishwa na wanajeshi wanasakwa mitaani wanakojificha.
UsitutisheEndeleeni kushabikia hii vita ,Mafuta litre ikifika 5000 kila mtu atakimbia kwenye hii thread.
Wote mtaongea lugha moja
Juzi 10000 ulikuwa unapata litre 3 hapo hauoni utofauti?Usitutishe
BEI YA LEO YA MAFUTA.
ukiwa na 10000 unapata lita mbili
BEI IKIWA 5000
ukiwa na 10000 tutapata lita mbili.